Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Ni kweli hapa Yanga ndio wameshika mpini Kokolanya makali. Maana Yanga akikomalia kwenye vipengele vya mkataba wanaweza kumchanganya zaidi Kokolanya. Angejua Angesubiri mkataba uishe ndio atimke akiwa huru. Hapo angepata mishahara yote na Timu mpya anayoipenda.Labda watumie busara tu