Beno Kakolanya aomba mkataba wake Yanga uvunjwe

Labda watumie busara tu
Ni kweli hapa Yanga ndio wameshika mpini Kokolanya makali. Maana Yanga akikomalia kwenye vipengele vya mkataba wanaweza kumchanganya zaidi Kokolanya. Angejua Angesubiri mkataba uishe ndio atimke akiwa huru. Hapo angepata mishahara yote na Timu mpya anayoipenda.
 
Ukiomba kuvunja mkataba wewe ndiye unayelipa gharama mlizokubaliana kwenye mkataba ikiwa itatokea kuna uhitaji huo. Refer Man Utd Vs Mourihno.
Inategemeana mkataba unasemaje, Watu msiwe nyie ndiyo wanasheria, mikataba haifanani. Na pia inategemea sababu za kuvunjwa kwa mkataba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana mkataba unasemaje, Watu msiwe nyie ndiyo wanasheria, mikataba haifanani. Na pia inategemea sababu za kuvunjwa kwa mkataba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria za kazi za Tanzania ndio zinasema hivyo
Kama alikuwa anadai na madai yake yamelipwa yeye ndio atalipa gharama za kuvunja mkataba
 
Sheria za kazi za Tanzania ndio zinasema hivyo
Kama alikuwa anadai na madai yake yamelipwa yeye ndio atalipa gharama za kuvunja mkataba
Sheria za kazi za Tanzinia, sinasema hivyo, haziwezi kusema hivyo ikawa ndiyo basi, lazima kuwe na vifungu ndani yake, sababu za mkataba kuvunjwa, halafu zingatia hili ni soka linavipengele vyake pia, tofauti na sheria za kiraia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taja hivyo vifungu unavyovifahamu, hakuna sheria za mikataba za wachezaji (wafanyakazi wote wanafuata sheria za nchi).Sheria za soka zinahusu mambo ya soka (sheria 17 za soka )
 
Sijawahi kuona kocha mwenye asiyeshaurika kama huyu wa Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge moja la kocha,nayapenda maamuzi yake yenye msimamo. Hawa wachezaji wa kibongo wana matatizo karibia wote yanayofanana. Kujikweza,kuona wao ni bora kuliko timu. Kibaya zaidi wanawashawishi hata wachezaji wengine wafuate mawazo yake,ksbb tu kwa kipindi hicho yeye yuko kiwango cha juu,anajiona ni zaidi ya timu. Huyu kocha hataki ubabaishaji. Anaendesha mambo yake kama makocha wa kizungu. Kwenye A sema A. B sema B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…