Beno Kakolanya asaini mkataba wa miaka miwili Simba sports club

Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
nyinyi si ndio mlitaka Ben kakolanya asicheze maisha kumlipa mshahara hamtaki wala kuvunja mkataba hamtaki na ndio mmesababisha asiende Misri
 
Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Mbonde na Nduda wamekaa nje kmuda mrefu kwa sababu ya majeraha, hapo utailaumu vipi klabu?
 
Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Yuko Wapi Pius Buswita, Mahadhi, Emanuel Martin, Deus Kaseke nk nk. Kwa taarifa yako wachezaji mahiri wooote ulionao ni kutoka Msimbazi kuanzia Kelvin mpaka Migomba
 
Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Kama kuna ka ukweli wanaonea huruma kwasi na salamba ila sio mbaya wanamilki bodaboda now
 
Back
Top Bottom