OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
nyinyi si ndio mlitaka Ben kakolanya asicheze maisha kumlipa mshahara hamtaki wala kuvunja mkataba hamtaki na ndio mmesababisha asiende MisriSimba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Mitatu KiongoziManula kasaini kandarasi ya miaka miwili nae
Hilo zwazwa wanalipa mkataba mwingine wa nini?Jitu zito kugeuka linapoachwa na striker utafikiri kona ya fisi,la kazi gani?😱sultan kaongeza 1 year Ktk contract!
Kama rahisi kihivyo kwa nini msiamwache Bocco aende Polokwane?nyinyi si ndio mlitaka Ben kakolanya asicheze maisha kumlipa mshahara hamtaki wala kuvunja mkataba hamtaki na ndio mmesababisha asiende Misri
Watashindana kwenye misumari tuu,Benno alikuwa anawapiga wenzake wakina Kindoki na Kabwili sasa zamu yake imefikaNi golikipa mzuri na kama ni kweli, basi Aishi Manula atapata mpinzani wa kweli.
Issue ya Bocco ni tofauti hata meneja wake hakuwa na taarifa Kama kasaini timu nyingineKama rahisi kihivyo kwa nini msiamwache Bocco aende Polokwane?
ubaya wake ni upiHabari mbaya sana hii kwa ombaomba fc
Mbonde na Nduda wamekaa nje kmuda mrefu kwa sababu ya majeraha, hapo utailaumu vipi klabu?Simba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Yuko Wapi Pius Buswita, Mahadhi, Emanuel Martin, Deus Kaseke nk nk. Kwa taarifa yako wachezaji mahiri wooote ulionao ni kutoka Msimbazi kuanzia Kelvin mpaka MigombaSimba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Kwa hiyo nyinyi yanga mlisajili mchezaji pancha??Uyo pancha kama Kapombe, muda utaongea
Ombaomba fc hawana jipya hao... Wivu na uswahili tuu [emoji38][emoji38][emoji38]Kwa hiyo nyinyi yanga mlisajili mchezaji pancha??
Fuatilia historia yake ewe mlugulu acha ubishiKwa hiyo nyinyi yanga mlisajili mchezaji pancha??
Kama kuna ka ukweli wanaonea huruma kwasi na salamba ila sio mbaya wanamilki bodaboda nowSimba ni mahari fulani pa kuzika vipaji vya wachezaji! Benno asipokuwa makini tutamsahau mapema tu! Wapi Kwasi, Mbonde, Mo Ibrahimu, Salamba, Nduda.....Kila la kheri Benno Maisha popote! Ila msije mkapifana misumari na mwenzako.
Hahaaa. Hivi na Simba mmefikia huko aiseee.Ukiona cha nini wenzako tunawaza
tutakipata lini
Kesho unipitie mtani Shadeeya usiniache twende sote kwenye kilele chetu pale jublee