"Yanga wwmepoa wapo Baridiiiiiii tofauti na Simba wanashamla shamla" JK voiceYanga Baridiiiiiii... JK voice
Msimu mzima wa Ligi kchezea Azam match ngapi?Metacha ni golikipa wa Azam Fc yupo mbao kwa mkopo tu!
Aaah aaaah aaaah dadek.Anaitwa Joash Onyango mwenye miaka 26 beki wa Kenya aliepo Misri na Harambee Stars,leo saa7 atatangazwa na MikiaView attachment 1130494
Aaah aaaah aaaah dadek.
Mo katikiswa na kilomoni... Kazuia mabilioni, Wana wanaishia kuhangaika na wachezaji wa kidwanz tu
Hajacheza mechi yoyote! Kule mbao ndiko anakostahili na mbao kacheza mechi chache tu!Msimu mzima wa Ligi kchezea Azam match ngapi?
Beno, si golikipa wakucheza timu za daraja la chini kama Biashara.
Biashara kucheza ligi kuu haina maana ina daraja sawa na Simba au Yanga.Biashara united inacheza Ligi Kuu au daraja la Chini lipi unalozungumzia hapa?
Biashara kucheza ligi kuu haina maana ina daraja sawa na Simba au Yanga.
Timu za daraja la juu Tanzania zipo tatu, timu za daraja la kati tuna Mtibwa sugar, Tanzania prison, Kagera sugar, n.k
Timu za daraja la chini tuna Biashara, KMC, Mbao, Lipuli, Mwadui n.k sijui unaelewa nini na maanisha?
Kigezo namba moja ukongwe, namba mbili mafanikio.Unatumia Vigezo gani kupanga hayo madaraja?
Akili anayo... angeng'ang'ania timu ambayo haimlipi ndio angekuwa hana akili.Kweli kabisa upo sawa, angekuwa na akili kama alikosa timu yoyote ya nje angeenda hata Azam au kmc kuliko kwenda kukaa benchi. Itakuwa vigumu kumtoa Manula .
Anajiamini.. huko Azam aende Kabwili au KindokiMkuu tuvute tu subiri na muda utaongea, huyu Kakolanya kajimaliza, bora hata angeenda zake Azam fc au hiyo KMC
Hata Yanga alikuwa na uhakika wa kucheza mechi nyingi... Yaani Mfano unataka De gea atoke MAN U aende Watford?..Huku ni kutotumia akili vizuri unakataa dili la Biashara United Mara ambapo utakuwa na uhakika wa kucheza kila mechi unasaini Simba Sports Club ambayo ina makipa wanne, huna uhakika na namba yako ambapo unaenda kukaa Benchi muda wote!
Usitegemee NEYMAR atoke PSG aende Nice japo ni ligi moja.Biashara united inacheza Ligi Kuu au daraja la Chini lipi unalozungumzia hapa?