libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Endeleeni kumdanganya Beno kuwa eti atapata nafasi kikosi chenu kipana ka bwawaTuna kikosi kipana sana hana nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kumdanganya Beno kuwa eti atapata nafasi kikosi chenu kipana ka bwawaTuna kikosi kipana sana hana nafasi
Kwa hiyo ukisusa ndio utalipwa? Unajua klabu zingine zina hali gani?Hahaha, hivi mkuu ulishawahi kuwaza kufanya kazi ambayo hulipwi?
Kumbuka una familia, una maisha pia na hiyo kazi uliipata mkiwa mmekubaliana malipo!
Tujaribu kuvaa viatu vya wenzetu, kuna muda ushabiki ukae pembeni.
angekuwa mwerevu angesubiri japo kwa taabu hadi mkataba wake na Yanga uishe akiwa kwenye kiwango cha juu cha ubora na kisha kukataa kusajiri tena Yanga kuongeza mkataba mpya.Huyu ana leta mahaba niue.yaani beno apigike pale golini.akumbane na uchawi pale golini akwepe mawe yasiyoonekana.mwisho wa mwezi una mwambia mshahara hamnaa?
Kweli.atakuelewa?
sio kweli hata kidogo kwamba wachezaji yanga hawalipwi kabisa chochote, wengi wao wanadai hela zao za usajili walizoahidiwa. Ziko posho na n.k zinawapitia.Hahaha, hivi mkuu ulishawahi kuwaza kufanya kazi ambayo hulipwi?
Kumbuka una familia, una maisha pia na hiyo kazi uliipata mkiwa mmekubaliana malipo!
Tujaribu kuvaa viatu vya wenzetu, kuna muda ushabiki ukae pembeni.
Kwa hiyo ukisusa ndio utalipwa? Unajua klabu zingine zina hali gani?
angekuwa mwerevu angesubiri japo kwa taabu hadi mkataba wake na Yanga uishe akiwa kwenye kiwango cha juu cha ubora na kisha kukataa kusajiri tena Yanga kuongeza mkataba mpya.
kunguru hafugiki, hata huko dhambi itaendelea kumfuata. Wazungu wanajali sana CV ya mtu. Beno kaichafua CV yake. Mtu kama Chirwa kwa CV ile hawezi kufika mbali tena kwenye mpira.Kama Yanga inamsajili Boban na kumlipa M25 na Beno bado halipwi anachokidai, pia Kocha wa Yanga ameshamnanga Beno kwa kusema huwa anatoroka kambini usiku, pia amebaini kuwa Meneja wa Beno ni Simba dam. Hivyo Beno hawezi kuaminiwa tena na Kocha wa Yanga. Namshauri aende Msimbazi ya kimataifa.
Aaa huo ni uchochezi sasa, hata Tanzania haiwezi kuacha kununua ndege na kujenga fly over eti kwakuwa tuna deni kubwa tunalodaiwa na taasisi za ndani na nje ya nchi.Kama Yanga inamsajili Boban na kumlipa M25 na Beno bado halipwi anachokidai, pia Kocha wa Yanga ameshamnanga Beno kwa kusema huwa anatoroka kambini usiku, pia amebaini kuwa Meneja wa Beno ni Simba dam. Hivyo Beno hawezi kuaminiwa tena na Kocha wa Yanga. Namshauri aende Msimbazi ya kimataifa.
Hawa nao wanapambana na hali zao.View attachment VID-20181211-WA0007.mp4We Mika FC pambana na hali yako.
yanga hii hii ambayo yeye beno anaigomea ndo yanga hii hii aliyo mvumilia alipo kuwa majeruhi karibia msimu mzimaMlitaka acheze bure kama hamtaki kumlipa!
Hamna hela halafu bado mnamwona msaliti
alikuwa majeruhi ila yanga ilimvumilia unakumbukaTanzania inahitaji vijana wanaojitambua kama Beno. Hii ni kazi kama kazi nyingine! Sijui kama unajua maana ya mkataba? Hivi ingetokea Yanga imemchoka haimuhitaji Beno ingeendelea kumulipa mshahara mpaka asajiliwe timu nyingine?
Kwani mkataba wake unasemaje akiwa majeruhi?.. Au hujui majeraha ni sehemu ya maisha ya soka?alikuwa majeruhi ila yanga ilimvumilia unakumbuka
Aaaa! Beno hasomi alama za nyakati, kazi yake ya ugolikipa ni kazi takatifu haitaki vitendo kama hivyo alivyofanya. Hii ni sawa na kuitia najisi kazi yake ya ugolikipa.
Hakuna timu makini duniani itapenda golikipa mwenye historia ya tabia kama hiyo ya kugoma anapokuwa na shida hasa ya kifedha. Hii inamaanisha kuwa golikipa kama Beno ana uwezo wa kuchukua fedha kutoka timu pinzani na kuiuza mechi ili kukidhi shida yake ya kifedha ambayo mwajiri ameshindwa kuiona au kuitimiza.
Aliyemshauri Beno kufanya hivyo alikosea sana kupita kiasi. Beno hataaminika pahala popote duniani kucheza kama golikipa, maana hawatajua akikasirishwa na uongozi atachukuwa hatua gani kama sehemu suluhisho ya shida yake.
Namshauri Beno aende Yanga akapige magoti kuomba msamaha kwa alichofanya ili kujisafisha. Yeye bado mdogo sana, anazo kesho nyingi sana ambazo zitahitaji umakini na trust ya hali ya juu wa wadau mbalimbali anaowafahamu na asiowafahamu.
BORA AUE KIWANGO ASIUE FAMILIA BIGUP BENOOOTETESI: Inaelezwa kuna uwezekano katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo Simba ikamuacha golikipa wake Said Mohamed 'Nduda' ambaye anaonekana hana nafasi na nafasi yake ikazibwa na Beno Kakolanya.
Source: Shaffih Dauda IG
NB: Naona hapa ndio anaenda kuuwa kiwango chakeView attachment 967879