Beno Kakolanya imeinajisi kazi yake

Hahaha, hivi mkuu ulishawahi kuwaza kufanya kazi ambayo hulipwi?

Kumbuka una familia, una maisha pia na hiyo kazi uliipata mkiwa mmekubaliana malipo!

Tujaribu kuvaa viatu vya wenzetu, kuna muda ushabiki ukae pembeni.
Kwa hiyo ukisusa ndio utalipwa? Unajua klabu zingine zina hali gani?
 
Huyu ana leta mahaba niue.yaani beno apigike pale golini.akumbane na uchawi pale golini akwepe mawe yasiyoonekana.mwisho wa mwezi una mwambia mshahara hamnaa?
Kweli.atakuelewa?
angekuwa mwerevu angesubiri japo kwa taabu hadi mkataba wake na Yanga uishe akiwa kwenye kiwango cha juu cha ubora na kisha kukataa kusajiri tena Yanga kuongeza mkataba mpya.
 
Hahaha, hivi mkuu ulishawahi kuwaza kufanya kazi ambayo hulipwi?

Kumbuka una familia, una maisha pia na hiyo kazi uliipata mkiwa mmekubaliana malipo!

Tujaribu kuvaa viatu vya wenzetu, kuna muda ushabiki ukae pembeni.
sio kweli hata kidogo kwamba wachezaji yanga hawalipwi kabisa chochote, wengi wao wanadai hela zao za usajili walizoahidiwa. Ziko posho na n.k zinawapitia.
 
Kwa hiyo ukisusa ndio utalipwa? Unajua klabu zingine zina hali gani?

Labda maisha ya mpira ni tofauti na huku kwingine, mimi siyo mwenyeji sana kwenye kufanya kazi bila kulipwa.
 
Kama Yanga inamsajili Boban na kumlipa M25 na Beno bado halipwi anachokidai, pia Kocha wa Yanga ameshamnanga Beno kwa kusema huwa anatoroka kambini usiku, pia amebaini kuwa Meneja wa Beno ni Simba dam. Hivyo Beno hawezi kuaminiwa tena na Kocha wa Yanga. Namshauri aende Msimbazi ya kimataifa.
 
unaonekana wewe hauchukulii mpira kama kazi bali ni uzalendo.
ULISHAWAHI KUJIULIZA KAKOLANYA ANASHABIKIA TIMU GANI HAPA BONGO?
pale yupo kazini
angekuwa mwerevu angesubiri japo kwa taabu hadi mkataba wake na Yanga uishe akiwa kwenye kiwango cha juu cha ubora na kisha kukataa kusajiri tena Yanga kuongeza mkataba mpya.
 
kunguru hafugiki, hata huko dhambi itaendelea kumfuata. Wazungu wanajali sana CV ya mtu. Beno kaichafua CV yake. Mtu kama Chirwa kwa CV ile hawezi kufika mbali tena kwenye mpira.
 
Aaa huo ni uchochezi sasa, hata Tanzania haiwezi kuacha kununua ndege na kujenga fly over eti kwakuwa tuna deni kubwa tunalodaiwa na taasisi za ndani na nje ya nchi.
 
Beno akirudi Yanga atainajisi. Aende aendako.

Suala la kudai mishahara na mengine ya kimkataba si yeye tu. Mbona wenzie wanacheza na ushindi unapatikana?

Kususa kwake imekuwa zali kwa Kabwili. Tukumbuke naye ana madai yake. Wakala wake mtu wa mikia kamrubuni ili aende Simba kirahisi.

Kweli ni kipa mzuri lakini hatua aliyofikia aende zake. Kifuatacho akibaki Yanga ni kuuza mechi.

Sipendi kuamini kama Amunike ataweza kumwita National team akiwa msaidizi wa Manula pale Simba. Manula akilinda kiwango chake, Beno atasugua benchi hadi kiama. Bado kuna misumari atapigwa sana.

Kwa heri Beno. Yanga itapata mbadala wako.
 
Nasikia Musiba kamlipa zote kwa hiyo amerudi
 
Tanzania inahitaji vijana wanaojitambua kama Beno. Hii ni kazi kama kazi nyingine! Sijui kama unajua maana ya mkataba? Hivi ingetokea Yanga imemchoka haimuhitaji Beno ingeendelea kumulipa mshahara mpaka asajiliwe timu nyingine?
 
Mlitaka acheze bure kama hamtaki kumlipa!
Hamna hela halafu bado mnamwona msaliti
yanga hii hii ambayo yeye beno anaigomea ndo yanga hii hii aliyo mvumilia alipo kuwa majeruhi karibia msimu mzima
 
Tanzania inahitaji vijana wanaojitambua kama Beno. Hii ni kazi kama kazi nyingine! Sijui kama unajua maana ya mkataba? Hivi ingetokea Yanga imemchoka haimuhitaji Beno ingeendelea kumulipa mshahara mpaka asajiliwe timu nyingine?
alikuwa majeruhi ila yanga ilimvumilia unakumbuka
 
Ushauri wako ni mzuri sana kwa kijana BENO.. Ila umewasahau wadeni wake hujawapa neno lolote kuhusu maisha ya wachezaji wake.
Soka ni ajira
 
alikuwa majeruhi ila yanga ilimvumilia unakumbuka
Kwani mkataba wake unasemaje akiwa majeruhi?.. Au hujui majeraha ni sehemu ya maisha ya soka?
Amepata majeraha akiitumikia timu yake...Mkataba wake hausemi anyimwe stahiki zake.
LABDA NENO MKATABA HULIJUI.
Hao wanaocheza wakati wanadai sio kwamba wakigoma watakuwa wamekosea laah!..ni haki yao kulipwa Mkataba upo.
 
Amejiharibia Cv,japo Zahera kamkataa ila hata akikubaliwa kurudi mi simwamini tena,hajui wanaomdanganya saiz kesho watamcheka
 
FAMILIA YAKE UTAIHAMISHIA CHUMBAN KWAKO UWAPE MALAZI AMA.MNAKODOA NA JF ILIMRADI MSOMEKE .......

ACHENI UPUUZI WAKUSAJILI WATU UWEZO HAMNA WAKUWALIPA YUKO WAPI NGOMA KAPUMZIKA ANAKULA.MSHAHARA MWAKA.MZIMA MNADANGANYA ANAUMWA KUMBE ANATAKA CHAKE NA UNAJUA YANGA WALIISHIA KUMLIPA SH NGAPI

MNAPOANDIKA ANGALIA UNGEKUWA WEWE N FAMILIA YAKK.MNGEFANYAJE MUHIMU SANA.....

MFIKE WAKATI MJUE KUSAJILI NA KULIPA WACHEZAJI MISHAHARA VITU VYA KUANDALIWA SIO KUKURUPUKA MWONEKANE
 
BORA AUE KIWANGO ASIUE FAMILIA BIGUP BENOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…