Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Wanawake ndo hufanya ivo, hii hata huko mbele cjawah muona msanii mwanaume akafanya ivo, dalili za ushoga izoo
 
sela unavua shat,jeans ,boksa,unapakwa mafuta unakalia kiti matako matupu afu unapigwa picha?...inna lilah wah inna lilah raijuun
 
Ni masharti
Ya wafadhili wao
Freemaso
Hawafanyi kwa hiari

Napita
 
Kwa jinsi Harmorapa anavyopenda kiki usishangae na yeye kesho akatoa picha yake kama hiyo. Na hapo ndio tutajidhihirishia hasa 'the evolution of mankind' Kujua chimbuko letu ni lipi hasa mpaka kuwa wanaadamu.
Kuhusu huyo Ben Pol si jambo la ajabu sana kupiga picha kama hiyo maana sifa zake zilishasemwa sana kuhusishwa na kina James Delicious.
 
Anataka aanze kupanda ndege kama ommy dimpoz naona.......kaanza kuonesha makalio duh,
 
Hata mavazi yake huwa yananipa sana shida. Nashindwa nimuweke katika group gani..
 
Huwa nina mashaka na huyu KIJANA...!! wanao mjua VIZURI tunaomba mfunguke.....

Huu sio UANAUME...
Mtoto/kijana wa KIUME uwezi kuonesha MAKALIO yako katika HADHIRA ya walimwengu...!!
 
Huwa nina mashaka na huyu KIJANA...!! wanao mjua VIZURI tunaomba mfunguke.....

Huu sio UANAUME...
Mtoto/kijana wa KIUME uwezi kuonesha MAKALIO yako katika HADHIRA ya walimwengu...!!
ina ubaya gani .mnaficha makalio yenu kwani yana nini?
 
Kutafuta kuzungumziwa ni tatizo kumbuka neno "msanii" kitambo hicho ilikuwa ndio inadhihilisha mambo ya wehu kama haya ya ben pol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…