Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Hii hutokea tu pale kila ngoma unayotoa hakuna anaekuzungumzia.
Unaamua kuonyesha kipaji kingine ulichonacho.
Mpokeeni wadau
 
Lubrication swafiiii jamani,duh sijui kafanya kwa shida au raha kakosea sana
 
KWA MAWAZO YANGU

1.huyu mtu alitekwa na kufanyiwa mambo mabaya na akapigwa picha hiyo na account yake wakaihack sasa wao majamaa ndio wanaanza kurusha pichaa maana katika account yake ina picha moja tu ambayo ni hiyo
View attachment 511215
2: inawezekana anatoa wimbo ambao unahusu kutekwa kwa mawazo yako ila asilimiaa kubwa alishawahi kupgwa pichaa za uchi na kuihack account na kuanza kuchafuliwa
Labda aisee siamini huyu ni Baba sasa ivi sidhani kama anaweza fanya ivi ila hatujui ila nimesikitika sana.
Sasa ivi mtoto wa kiume nae ni pasua kichwa kweli mara kina delicious sijui mateja haya huyu nae mapicha haya ya utupu
Tunapaswa kuwaombea watoto wetu sana.
 
Back
Top Bottom