Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Na wadada wa mjini walivyo wahuni wakati wanakupaka mafuta wanaweza kukutumbukiza mavidole kwny mtandao pendwa wenye promosheni mpya "jazwa ujazwe"

Note:kama alipakwa mafuta na mdada lakini
 
Ni BenPol au BenPoli?
Choo cha Kike kinamuita.
Akili za Kishoga zinaanza kuingia akilini mwa Wasanii
 
Bora uteja sio ushoga manina zake nilikua nazikubali kazi zake but not now
 
Hivi mpaka sasa hajajitokeza kusema labda 'acc ilihackiwa'........

Inamaana alidhamiria haya [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hivi mpaka sasa hajajitokeza kusema labda 'acc ilihackiwa'........

Inamaana alidhamiria haya [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Bado anasikilizia upepo labda kwamba mmechukuliaje
 
Duh.... Sikutegemea Hili kutok kwa benpol,,, kweli shits do happens bt this?? To him?
Enweis let's not judge him[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…