Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Upumbavu uliopitiliza. Haipaswi mwanaume kuanika maketio yako kwa umma.

Hata kama ni katika njia za kujitafutia riziki.

Ya kheri hata angelivaa boksa kwa chini.
Biashara matangazo mkuu
 
Hapa alikuwa anasubiri kusuguliwa au ndio amemaliza kusuguliwa?
 


Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Naona ametumia akili akagundua hazisaidii sasa ameamua kutumia mwili wake akiwa uchi labda atapata a bit of attention!
 
Ush......ga huanza hv mwanaume kuonesha kalio namna hyo aseee!!!!!!labda kijana c ridhik
 
Atakua anaanza kutoa tigo kama mwenzie ommy dimpoz
 
aisee anatuabisha wanaume, sasa sijui washakula jicho lakini ni aibu anasababisha wadada wanasema wanaume tunapungua
 
Hivi mpaka sasa hajajitokeza kusema labda 'acc ilihackiwa'........

Inamaana alidhamiria haya [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sio Mara ya kwanza, aliwahi kutupia kwny Account yake ya Instagram clip akiwa anacheza akiwa kavaa kinguo cha ndani supu za 'Matter core' zote zinaonekana!
 
Hivi mpaka sasa hajajitokeza kusema labda 'acc ilihackiwa'........

Inamaana alidhamiria haya [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Upo wewe?! Umeadimika ile mbaya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…