Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara matangazo mkuuUpumbavu uliopitiliza. Haipaswi mwanaume kuanika maketio yako kwa umma.
Hata kama ni katika njia za kujitafutia riziki.
Ya kheri hata angelivaa boksa kwa chini.
Naona ametumia akili akagundua hazisaidii sasa ameamua kutumia mwili wake akiwa uchi labda atapata a bit of attention!![]()
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.
Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Huyu sio benpol ni mtu afananae tu tazama kwa umakiniMwanaume kuachia matako ni ushamba ukiopitiliza...
Ukimtazama Vyema Huyu Mtoto kwa umakini unatambua kabisa ni Mtoto wa watu
Wewe ni kama mimi yani naona kama hawafanani kabisa.Ila ukiangalia kwa jicho la tatu mbona kama sio Ben huyo???
Usiseme kwa sautiAtakua anaanza kutoa tigo kama mwenzie ommy dimpoz
kwani le mubebe ni kabila gani na unamuonaje hahaha wagogo ni wajingastMgogo gani mjinga namna hii?
Hivi mpaka sasa hajajitokeza kusema labda 'acc ilihackiwa'........
Inamaana alidhamiria haya [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Upo wewe?! Umeadimika ile mbaya!!!Hivi mpaka sasa hajajitokeza kusema labda 'acc ilihackiwa'........
Inamaana alidhamiria haya [emoji124] [emoji124] [emoji124]