Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

KWA MAWAZO YANGU

1.huyu mtu alitekwa na kufanyiwa mambo mabaya na akapigwa picha hiyo na account yake wakaihack sasa wao majamaa ndio wanaanza kurusha pichaa maana katika account yake ina picha moja tu ambayo ni hiyo

2: inawezekana anatoa wimbo ambao unahusu kutekwa kwa mawazo yako ila asilimiaa kubwa alishawahi kupgwa pichaa za uchi na kuihack account na kuanza kuchafuliwa
 
nawawaza wazazi wake kwa sauti na mtoto ake

cjui kama akipeleka riziki yake kwa mzazi wa kiume kama ataipokea baada ya kuiona picha hii

roho imeniuma sanaaa,of all people
 
Hahaha benpol nenda marekani hawatashangaa hayo Ila bongo ndio hivo maadili watasema endelea hivo hivo kuonyesha makalio tutakuja kukutunza shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…