Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Nashauri; Akamatwe, apelekwe Segerea kwa wale madaktari wajuzi wa kupima "chupa" yake kama haijapasuliwa. Matangazo haya ya kisirisiri sio mazuri. Yalipiwe jamani. Lazima kwishavunjwa chupa huyoooo si bure
 
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Uwiiiiiiiiiiii lahaullah la kwatah siamin kama ni yeye
 
Nilichoona hapa kwenye huu Uzi, Wanaume wanapigilia misumari, wanawake wanatetea. Lakini yote yaweza kuwa majibu tuwe na subira
 
Labda analiwa anatangaza biashara hiz kiki zimekalibia kuwaua na muda si mrefu wataanza kutupia picha za uchi kbs
 
Duh huyu bwa mdogo anajua ila hv duh hadi noma
 
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
Kweli mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…