Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
6ea9056e498fb68d71197883f0cf731e.jpg


Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.

Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.
 
Labda alikuwa anaandaa muvi. Anyway, sometimes shit happens
 
Back
Top Bottom