Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Hapa kijana kachemka kabisa ingawa kiki aliyoitaka kaipata, hapa ni mwendo wa kupumuliwa kisogoni sasa!
Singo ipi anataka achia inayohusu utumwa wa uchi uchi??
 
Daa real dissapointed.. ben umezingua sanaa ulikua ni one of my favourite artist but kwa hii picha unanishawishi nisipende kazi zako tenaa ..what the heck is this [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji48][emoji48]
 
Kinachoniumiza kafungwa hizo kamba na mwanaume kweli kaishia kumfunga!?
isee kwanz kitendo cha kutoa nguo na kubaki hivo ni utata labda kuna watu walimfanyia jambo fulan kw lazm ila kam yy ndo katoa nguo kw ajil ya pcha tuu duuuh nafikir kazoea hayo mamb ndo mana kaon kawaida kuwonyesh wapig pch wanaum boga lake
 
Sikuwahi kufikiri kama huyu kijana ana akili mbaya hivi!

Hapa kuna harufu ya usodoma!
 
Mmmmhhh yamemsibu yapi jamani mbona kama siamini [emoji22] [emoji22]

Kama kafanya haya kwaajili ya kiki ajihesabie music wake umekufa.
 
Duuuu kama hajaanza basi ndio dalili za usengerema.,wacha Ney awachane tu wabana pua
 
Back
Top Bottom