Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Nitoke vipi imebuma. ....

Hata kama ni kutafuta hela this is too much....
 
Mwenzao Alikiba anapasua mawimbi ngoja hawa waendelee na ujinga wao
 
3e94f44ad49004a511d312fae9401032.jpg
kipindi kile kuna jamaa alisema wazee hii siyo dalili nzuri
ila tuka mpuuzia, leo sasa ndio kaamua azidishe kabsaa
 
Hiyo picha ina tatizo gani ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom