Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Hongera sana ben umefikisha ujumbe vizuri! Kwa vile wa tz wengi iq zero hawajakuelewa! Lete wajenda! Lete defender! Wanamuziki wengine jiandaeni kufanyiwa hivyo kama msipo kubaliana na i.....u!!! Wenye akili tumekuelewa.Ambaye hajaaelewa amuulize R...a M......i!!!
 
Pia kakaa kwa upoooooole mi nadhani atatoa ufafanuzi kuwa alitekwa na kufungwa kamba na watu wasiofahamika maana si kawaida kabisa hii
Wewee upole u aonesha hajatekwa
Ila kama mwanaume uliokamilika kuna vitu lazima ujishtukie kuvifanya
Moja ni kupiga picha za ajab
 
Nachojaribu kusema msikimbilie kujudge!Nani angejua Scofield ni gay?Jamaa anavaa vizuri na anajiheshimu sana!Hiyo picha angekuwa amekaa diamond,kelele zote hizi zisingekuwepo!Ngoja kuna picha naitafuta ambayo diamond aliweka pozi akapigwa picha tokea nyuma,haikuwa mjadala!Acheni kuweweseka na vitu vidogo hivyo,basi muwaambie wasanii wa kiume wasikate mauno majukwaani,period!
Tofautisha kuonesha mwili ili wanawake wautamani na kuonesha mwili ili wanaume wautamani
Ni ajabu kupiga picha uchi ukiwa unachungulia nyuma
Hyo ni aina ya picha ambayo wa unavuta wanaume kuliko waschana
Sikatai kuwa alikuwa na nia nzri. Ila ukweli kakosea
 
Kaamua kuonyesha msambwanda na mbaya zaidi kaonyesha "ready for lunch" kwa kuuandaa vizuri kwa vilainishi. Ben ushanikosa maana sipo kabisa kutamani misambwanda ya kiume.
 
Ukitaka kujua kuna midume ya aina gani emb Ben aweke hadharani ofa alizopewa kuutoa huo mzigo... Watu ni waroho hatari! Mtu achelewi kufika M kadhaa walah.
 
Hawa vijana wanaoelekea sasa tutaanza kuwachapa viboko bungeni.
 
Hiyo picha ina maana kubwa sana hapo jamaa kafanya hivyo kufikisha ujumbe na hatimaye ujumbe umefika
 
Back
Top Bottom