Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
miongoni mwa wasanii niliyo waheshimu sana ni huyu, ila kwa hili mmh ??? baki na mziki wako aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msambwanda Upo tayari kwa kuliwa maana ushapakwa vikorombwezo vyote [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaamua kuonyesha msambwanda na mbaya zaidi kaonyesha "ready for lunch" kwa kuuandaa vizuri kwa vilainishi. Ben ushanikosa maana sipo kabisa kutamani misambwanda ya kiume.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Jana baada ya kuponda kwa kuweka Picha ya Mgongoni hadharani japo kuna baadhi humu walimtetea na wengine wakajifanya kusema sio Picha Yale Leo kaweka Picha za tukio lile lakin akiwa kapiga kwa mbele kuonesha Matiti yake yalivong'aa
Msambwanda Upo tayari kwa kuliwa maana ushapakwa vikorombwezo vyote [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hivi ni kweli alikuwa mtupu kabisa ama? au macho yangu hayajaona vizuri? halafu kuna watu wanasingizia eti ulaya wanatoa misaada kwa masharti tukubali ushogga. kumbe mambo yapo hapa hapa nchini daah. mtoto nyorotii hapo anabiduka huku anakuimbia ule wimbo wake sijui MOYO MASHINE.Ben Pol mbona mlaini hivyo? Halafu ni shoga au? Nauliza tu kwa vile picha na pozi ni matata.
Wanaume vifua migongo na nyonga atuachie wanawake.
![]()
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu.
Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako waachie kina amba lulu na gigy money.