Tetesi: BenPol kulikoni na mpenzi wake raia wa Kenya?

Tetesi: BenPol kulikoni na mpenzi wake raia wa Kenya?

Kuwa makini na tetesi, umbeya, ufisadi na ushengenyaji. Una uhakika na hii story yako? Maana juzi tu tumetoka kuona picha wakiwa wamefunga pingu za maisha. Hata mwezi haujaisha tayari wamemwagana? Hebu kajipange uje upya usije kuwa unajichumia dhambi za uzushi
Ni kweli that couple is no more tembelea page ya mdada
 
Nime comfirm wameachana officially, bibie na pEte katupa,ben sasa hvi kapoa kama mlenda, mashauz yote kwisha
Sijui kakutana na Nini Basi Wabongo tumsaidie Kudai Mali.Kwani hawakuchuma chochote pamoja huo mwaka???
 
Sijui kakutana na Nini Basi Wabongo tumsaidie Kudai Mali.Kwani hawakuchuma chochote pamoja huo mwaka???

Benpaul kwa kazi gan aliyokua nayo , ye mwenyew anaishi kwenye nyumba ya kupanga, Dem ndo kafanya aheshimike mjini ye hana mbele wala nyuma
 
Rumor has it , kuwa yale mahusiano yaliyokua na tashtiti mjini, kati ya mwanamuziki benpaul na mrembo kutoka kenya , Annerlisa ambaye katokea kwenye familia ya kitajiri , inasemekana mahusiano hayo hayapo tena na sasa hivi imebaki story tu .

Chanzo cha ubuyu kinadai wawil Hao walimwagana mda mrefu tu ila hawakutaka wanazengo wajue kitu kwa kuogopa vichambo kwenye mitandao.

Siku za hiv karibun benpaul amekua kimya sana tofauti na awali walipokua kwenye mahusiano, ambapo alikua akiishi maisha expensive sana pamoja na trip nyingi za US, Dubai , China na nchi nyinginezo ambapo sasa hiv imebaki tu historia
Duuuh
 
Back
Top Bottom