econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
CDM walishapotea kwenye Ramani ya Siasa za Tanganyika. Kwisha !
Wamepotea lini?.
CDM walishapotea kwenye Ramani ya Siasa za Tanganyika. Kwisha !
Hata ungekuwa wew ndo mke wa Kigaila usinge acha kwenda kwenye huo msiba. In fact hata Salumu Mwalimu na mkewe wanatakiwa waende msibani pamoja na Kigaila mwenyeweHuyu mkewe yuko msibani kwa Kidume Job
Mikundu.CHAUMA imewapiku chadema kwa mbali mno. Hakika hiki ndiyo chama halisi cha upinzani
Mtu mwenyewe unajiita chawa,CHAUMA imewapiku chadema kwa mbali mno. Hakika hiki ndiyo chama halisi cha upinzani
Hata ACT hawezi kujaza niko hapaHuyo mgombea wa chaumma hatoshi,hana impact let me predict,ACT katika mikutano watajaza kweli,chaumma wangeunga mkono ACT kwenye urais,wakabaki kupigania wabunge,pekee that could make sense,
#Napigana na drafting ya ubunifu wa BRICS BANK NOTES, TO COME!View attachment 3435550
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm, ila uhalisia umekataa. Hata cdm izuiwe na vyombo vya dola na mahakama miaka 10 mfululizo, kufa haitawezekana. Cdm imegeuka kuwa imani, yaani ni kama ilivyo Hamas.CDM walishapotea kwenye Ramani ya Siasa za Tanganyika. Kwisha !
Sera zao ni zipi waache wenge? Wajinga walianzisha usemi hakuna kuhama chama ila wao walipopigwa wakakimbia. Hakuna atakayewaamini labda baba na mama zao tu."CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari yake utaiona kwenye uchaguzi",- Kigaila.
View attachment 3435545
Chanzo:Jambo Tv
Modeli zile za vichwa zina mtindio wa ubongoKwanza muundo wa kichwa chake hawezi kua mzima
😂😂😂Modeli zile za vichwa zina mtindio wa ubongo
Yule mrangi ana laana ya mume wakeHuyu mkewe yuko msibani kwa Kidume Job
Hakuna Chama hapo chini ya TL , CDM imejizika yenyewe kwa huo ungozi wa jaziba na mehemuko, haitakuwa CDM again ! With CHAUMA and ACT taking the advantage , it will be mirecles for CDM to regain its position in the Political Landscape of this country.Hongera sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kuziondoa hizi takataka ambazo zilikuwa zimejichimbia mizizi pale Ufipa kwa miaka mingi! huku zikilindwa kwa gharama kubwa na Mwenyekiti uliyemuondoa kibabe kwenye uchaguzi uliopita, ndani ya chama.
Tangia January 2025 !Wamepotea lini?.
CDM Walijimaliza wenyewe kwa kupotoshwa na huyo TL wao, wakati hana karama ya Uongozi, Leaders are Born, not Made ! and ,Mbowe is a Born Leader !CHAUMA imewapiku chadema kwa mbali mno. Hakika hiki ndiyo chama halisi cha upinzani