GE2025 Benson Kigaila: CHAUMMA ina wanachama wengi inazidiwa na CCM tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sera zao ni zipi waache wenge? Wajinga walianzisha usemi hakuna kuhama chama ila wao walipopigwa wakakimbia. Hakuna atakayewaamini labda baba na mama zao tu.
 
Tuwe wakweli kwa wagombea hao wa urais CCM hawana haja ya kuiba kura.
 
Hongera sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kuziondoa hizi takataka ambazo zilikuwa zimejichimbia mizizi pale Ufipa kwa miaka mingi! huku zikilindwa kwa gharama kubwa na Mwenyekiti uliyemuondoa kibabe kwenye uchaguzi uliopita, ndani ya chama.
Hakuna Chama hapo chini ya TL , CDM imejizika yenyewe kwa huo ungozi wa jaziba na mehemuko, haitakuwa CDM again ! With CHAUMA and ACT taking the advantage , it will be mirecles for CDM to regain its position in the Political Landscape of this country.
 
CHAUMA imewapiku chadema kwa mbali mno. Hakika hiki ndiyo chama halisi cha upinzani
CDM Walijimaliza wenyewe kwa kupotoshwa na huyo TL wao, wakati hana karama ya Uongozi, Leaders are Born, not Made ! and ,Mbowe is a Born Leader !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…