Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara Benson Kigaila amedai kuwa chama hicho kinaweza kushika nafasi ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama na wafuasi baada ya chama tawala (CCM), ingawa katika matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita wamepata Viti vichache vya Ubunge na Udiwani ukilinganisha na CCM na ACT Wazalendo
Akihojiwa kwenye kipindi cha 'Jambo Asubuhi' kinachorushwa na Jambo TV leo, Alhamisi Machi 26.2026, Kigaila amesema viongozi wa chama hicho hawatakuwa mstari wa mbele 'kupiga kelele mitandaoni' kama wengi wanavyodhani, badala yake watajikita kuhakikisha wanawafikia Watanzania na kukinadi chama hicho, hiyo ikienda sambamba na kutoa elimu kwa umma kuhusu umuhimu wa 'kupigania' Taifa.