Pre GE2025 Benson Kigaila: Hata watanzania wakiamua kupitia Katiba pasiwepo na ukomo wa Urais ni sawa tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
Screenshot_2024-12-16-10-46-39-305_com.twitter.android~2.jpg
 
Naunga mkono hoja ya Kigaila.

Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.

Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?

Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.
IMG_1668.jpeg

My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆
 
sw bana maana mshaamua kujitoa ufahamu
Naunga mkono hoja ya Kigaila.

Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.

Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?

Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.

View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1868541306009694616?t=DvELsesmoNbInAU5XByQUg&s=19

My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆

hata milele ni sw tu maana hamuez himili maon tofauti
 
Ukomo au kutokuwa na ukomo wa uongozi sio tatizo. Tatizo ni jinsi ambavyo hili jambo huwa linaamuliwa.
1. Huwezi kuondoa ukomo pale ambapo mnayempenda tu ndio yupo madarakani halafu akija mwingine mnaweka ukomo, huo ni upumbavu. Kama ukomo unaondolewa uondolewe kwa wote kama unawekwa uwekwe kwa wote.

2.Ukomo hauna maana sana pale ambapo uchaguzi ni huru na haki na hakuna malalamiko makubwa sana ya wizi wa kura, ukandamizaji na udanganyifu katika uchaguzi. Ukomo hauna maana sana pale ambapo anayechaguliwa anaweza kudhibitiwa na vyombo vingine kitaasisi(kuna checks and balances). Yanapokosekana haya mambo ndipo ukomo unakuwa na umuhimu ili watu wasigandwe na kiongozi mbovu au mkatili milele.
 
Ndio maana CCM iendelee milele. Hivyo ndivyo wanamaanisha.

Binadamu lazima awekewe ukomo. Kuanzia uwezo, nguvu, na Muda.
 
Naunga mkono hoja ya Kigaila.

Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.

Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?

Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.
View attachment 3177878

My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆
Umenikumbusha zamani kwenye familia yetu tupo 10, wanaume tulikua wawili tu , mzee akisafiri chini ya utawala wa mama sisi ndio tulikua vidume , mapaja ya kuku ya mzee tunapewa sisi wawili tu , yani tulikua tunatamani baba apotelee huko mama azidi kuongoza familia tu.
 
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Safi sana Mzee Kigaila kwa hoja nzuri na yenye mashiko.
 
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Siasa za tanzania zinachosha sana...kidogokidogo naanza kuamini CCM watatawala kwa muda mrefu sana
 
Upunguani wote huu ili kuhalalisha ayattolah Mbowe aendelee na "cheo chake."
 
Kipindi wanamsingizia JPM kuwa anataka kuendelea walikuwa wanakaza komwe
Hakuna aliyemsingizia Magufuri bali Magufuri mwenyewe ndiye aliyetaka hivyo na akaanzisha machawa wa kumfagilia kuwa bila yeye hakuna Tanzania,na bila yeye watoto wetu hawatasoma,na bila yeye hakuna maisha mazuri Tanzania.
 
Siasa za tanzania zinachosha sana...kidogokidogo naanza kuamini CCM watatawala kwa muda mrefu sana
Heri yenu.Mwenye akili timamu anaelewa nini kile Mzee Kibaila anamaanisha.Hivi nikuulize ndugu yangu kwenye huu uchaguzi uliofanyika juzi,2019 na 2020 unaona kweli Demokrasia inatumika vizuri kama ilivyo na kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977? Je kwa nini viongozi wa CCM wamekataa kuwe na Katiba bora Mpya ya Mfumo wa Vyama Vingi?? Je kwa nini viongozi wengi wa ccm akiwemoi na Rais wako hawataki TUME HURU YA UCHAGUZI ambayo watendaji wake wanatoka katika Vyama mbalimbali vya kisiasa,dini mbalimbali,na asasi nyingine za Kiserikali pamoja na raia?
 
Mimi nazungumzia haya yanayoendelea chadema nikikumbuka kilichotokea NCCR na CUF wakati vina nguvu na wanachama wengi
 
Back
Top Bottom