Pre GE2025 Benson Kigaila: Hata watanzania wakiamua kupitia Katiba pasiwepo na ukomo wa Urais ni sawa tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono hoja ya Kigaila.

Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.

Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?

Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.
View attachment 3177878

My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆
Angel Merkel HAKUWA Rais, bali "Waziri Mkuu" anayeongoza Serikali na sio nchi. Sijui umenielewa?
 
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Soma upate kujifunza kitu
 
Attachments

  • Screenshot_20241216-104004.jpg
    Screenshot_20241216-104004.jpg
    445.8 KB · Views: 2
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Huyu marioo anaishi kwa mshahara wa mkewe ambaye ni covid 19 lazima atetee upuuzi.
 
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Hawa jamaa wenyewe tu hawajui wanasimamia nini.

Bure kabisa.....!!
 
Kipindi wanamsingizia JPM kuwa anataka kuendelea walikuwa wanakaza komwe
Wewe unaona sio kuchanganyikiwa raia wanasema tunataka katiba mpya halafu mtu anasema mimi sikuahidi mambo ya kubadilisha katiba na wafuasi wake wanasema katiba haileti ugali mezani halafu hapo hapo watu hao hao wanataka tena kubadili sehemu ndogo tu ya katiba?! Huu ndio ujuha ambao watu hawawezi kuuelewa.
 
Rafiki umeona yale yale ambayo na mimi nafsi inayaona kwa hawa wanaccm wanaopotosha maana ya demokrasia.
 
Ni ushabiki wa hovyo tu na ujinga wa kufananisha na kuhalalisha mambo yasiyofanana hata kidogo.
Ni tatizo la uduni wa critical and logical thinking.
 
Naunga mkono hoja ya Kigaila.

Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.

Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?

Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.
View attachment 3177878

My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆
WEwe acha kulinganisha ujerumani na Tanzania kwenye Jambo hilo.
Hapa Tanzania bado kufikia huko.

Hao Wazungu uchaguzi wao ni huru na haki,
Kwetu huku unafahamu kinachotokea.
Pia kiongozi akiharibu anaweza kuondolewa wakati wowote kwa kupigiwa kura na bunge.

Kiufupi mazingira ya kwetu, ukiondoa ukomo wa madaraka, siku moja utapata kiongozi ambae ni Wa OVYO, lakini kila uchaguzi ukija anashinda kwa wizi wa kura.
 
Sioni utofaut kati ya CCM na CHADEMA wote ni wale qlwale tu ufisadi tamaa na uroho wa madaraka,
 
WEwe acha kulinganisha ujerumani na Tanzania kwenye Jambo hilo.
Hapa Tanzania bado kufikia huko.

Hao Wazungu uchaguzi wao ni huru na haki,
Kwetu huku unafahamu kinachotokea.
Pia kiongozi akiharibu anaweza kuondolewa wakati wowote kwa kupigiwa kura na bunge.

Kiufupi mazingira ya kwetu, ukiondoa ukomo wa madaraka, siku moja utapata kiongozi ambae ni Wa OVYO, lakini kila uchaguzi ukija anashinda kwa wizi wa kura.
Hadi Kwa Machadema uchaguzi sio huru na Haki?
 
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Hawa ndio watu wanaoaminika kabisa pale Chadema.

Sasa huwa wanatoa povu la nini Raisi akifanya jambo wasilolipenda wakati anakuwa hajakiuka katiba.

Mfano wakurugenzi kusimamia uchaguzi n.k

Hiki Chama kina watu wenye uwezo mdogo sana wa akili ndio maana kinamtegemea Mbowe sasa nimeelewa.

Ila niwajuze tu wafuasi wake hata huyo Mbowe anapambaniwq kukaa kwenye kiti milele kwasababu ana pesa/bilionea.

Ila angekuwa kama Lissu,Zitto n.k nae angekuwa ameshapewa kila aina ya maneno mabaya.
 
Hakuna aliyemsingizia Magufuri bali Magufuri mwenyewe ndiye aliyetaka hivyo na akaanzisha machawa wa kumfagilia kuwa bila yeye hakuna Tanzania,na bila yeye watoto wetu hawatasoma,na bila yeye hakuna maisha mazuri Tanzania.
Kama ambavyo machawa wa Mbowe wanavyo hamasisha kuwa bila yeye hakuna Chadema.

Au wewe unaona kuna tofauti hapo.
 
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Hii ndiyo akili ya viongozi wa chakademus

Will to trade anything for power
 
Back
Top Bottom