Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
hata milele ni sw tu maana hamuez himili maon tofautiNaunga mkono hoja ya Kigaila.
Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.
Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?
Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.
View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1868541306009694616?t=DvELsesmoNbInAU5XByQUg&s=19
My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆
Kila mtu anatoa maoni yake Kwa uhuru kabisasw bana maana mshaamua kujitoa ufahamu
hata milele ni sw tu maana hamuez himili maon tofauti
CCM ndio ya hovyo kupindukia.Ndio maana CCM iendelee milele. Hivyo ndivyo wanamaanisha.
Binadamu lazima awekewe ukomo. Kuanzia uwezo, nguvu, na Muda.
Umenikumbusha zamani kwenye familia yetu tupo 10, wanaume tulikua wawili tu , mzee akisafiri chini ya utawala wa mama sisi ndio tulikua vidume , mapaja ya kuku ya mzee tunapewa sisi wawili tu , yani tulikua tunatamani baba apotelee huko mama azidi kuongoza familia tu.Naunga mkono hoja ya Kigaila.
Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.
Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?
Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.
View attachment 3177878
My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆
Safi sana Mzee Kigaila kwa hoja nzuri na yenye mashiko.Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Siasa za tanzania zinachosha sana...kidogokidogo naanza kuamini CCM watatawala kwa muda mrefu sanaUkimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Upunguani wote huu ili kuhalalisha ayattolah Mbowe aendelee na "cheo chake."Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Hakuna aliyemsingizia Magufuri bali Magufuri mwenyewe ndiye aliyetaka hivyo na akaanzisha machawa wa kumfagilia kuwa bila yeye hakuna Tanzania,na bila yeye watoto wetu hawatasoma,na bila yeye hakuna maisha mazuri Tanzania.Kipindi wanamsingizia JPM kuwa anataka kuendelea walikuwa wanakaza komwe
Heri yenu.Mwenye akili timamu anaelewa nini kile Mzee Kibaila anamaanisha.Hivi nikuulize ndugu yangu kwenye huu uchaguzi uliofanyika juzi,2019 na 2020 unaona kweli Demokrasia inatumika vizuri kama ilivyo na kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977? Je kwa nini viongozi wa CCM wamekataa kuwe na Katiba bora Mpya ya Mfumo wa Vyama Vingi?? Je kwa nini viongozi wengi wa ccm akiwemoi na Rais wako hawataki TUME HURU YA UCHAGUZI ambayo watendaji wake wanatoka katika Vyama mbalimbali vya kisiasa,dini mbalimbali,na asasi nyingine za Kiserikali pamoja na raia?Siasa za tanzania zinachosha sana...kidogokidogo naanza kuamini CCM watatawala kwa muda mrefu sana
Yote heri,lakini mimi naona yuko sawa.Huyu anaelekea kujiunga na CCM soon
Mimi nazungumzia haya yanayoendelea chadema nikikumbuka kilichotokea NCCR na CUF wakati vina nguvu na wanachama wengiHeri yenu.Mwenye akili timamu anaelewa nini kile Mzee Kibaila anamaanisha.Hivi nikuulize ndugu yangu kwenye huu uchaguzi uliofanyika juzi,2019 na 2020 unaona kweli Demokrasia inatumika vizuri kama ilivyo na kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977? Je kwa nini viongozi wa CCM wamekataa kuwe na Katiba bora Mpya ya Mfumo wa Vyama Vingi?? Je kwa nini viongozi wengi wa ccm akiwemoi na Rais wako hawataki TUME HURU YA UCHAGUZI ambayo watendaji wake wanatoka katika Vyama mbalimbali vya kisiasa,dini mbalimbali,na asasi nyingine za Kiserikali pamoja na raia?