Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Angel Merkel HAKUWA Rais, bali "Waziri Mkuu" anayeongoza Serikali na sio nchi. Sijui umenielewa?Naunga mkono hoja ya Kigaila.
Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.
Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?
Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.
View attachment 3177878
My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆
Soma upate kujifunza kituUkimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Hakuna jambo baya CHADEMA sema mamluki ya ccm yalishaingia humo kuivuruga CHADEMA.Mimi nazungumzia haya yanayoendelea chadema nikikumbuka kilichotokea NCCR na CUF wakati vina nguvu na wanachama wengi
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri.Soma upate kujifunza kitu
Pamoja mkuu.Asante sana kwa ufafanuzi mzuri.
Huyu marioo anaishi kwa mshahara wa mkewe ambaye ni covid 19 lazima atetee upuuzi.Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Kumbe wale wanaosema samia anatosha wana hoja 😄Ndio maana CCM iendelee milele. Hivyo ndivyo wanamaanisha.
Binadamu lazima awekewe ukomo. Kuanzia uwezo, nguvu, na Muda.
Hawa jamaa wenyewe tu hawajui wanasimamia nini.Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Wewe unaona sio kuchanganyikiwa raia wanasema tunataka katiba mpya halafu mtu anasema mimi sikuahidi mambo ya kubadilisha katiba na wafuasi wake wanasema katiba haileti ugali mezani halafu hapo hapo watu hao hao wanataka tena kubadili sehemu ndogo tu ya katiba?! Huu ndio ujuha ambao watu hawawezi kuuelewa.Kipindi wanamsingizia JPM kuwa anataka kuendelea walikuwa wanakaza komwe
Rafiki umeona yale yale ambayo na mimi nafsi inayaona kwa hawa wanaccm wanaopotosha maana ya demokrasia.Wewe unaona sio kuchanganyikiwa raia wanasema tunataka katiba mpya halafu mtu anasema mimi sikuahidi mambo ya kubadilisha katiba na wafuasi wake wanasema katiba haileti ugali mezani halafu hapo hapo watu hao hao wanataka tena kubadili sehemu ndogo tu ya katiba?! Huu ndio ujuha ambao watu hawawezi kuuelewa.
Ni ushabiki wa hovyo tu na ujinga wa kufananisha na kuhalalisha mambo yasiyofanana hata kidogo.Rafiki umeona yale yale ambayo na mimi nafsi inayaona kwa hawa wanaccm wanaopotosha maana ya demokrasia.
Hakika.Ni ushabiki wa hovyo tu na ujinga wa kufananisha na kuhalalisha mambo yasiyofanana hata kidogo.
Ni tatizo la uduni wa critical and logical thinking.
WEwe acha kulinganisha ujerumani na Tanzania kwenye Jambo hilo.Naunga mkono hoja ya Kigaila.
Mfano Germany hakuna kitu inayoitwa Ukomo wa Uongozi ndio maana Angel Merkel aliongiza Hadi akachoka na Nchi Iko poa kabisa.
Iweje Vinchi maskini kama Tanzania viwe vinahangaika na mambo ya Ukomo yasiyo na msingi?
Samia anatosha na chenji inabaki Hadi 2035.
View attachment 3177878
My Take
Mpaka hapo Mbowe ameshapita Kwa zaidi ya asilimia 80% 😆😆
Hadi Kwa Machadema uchaguzi sio huru na Haki?WEwe acha kulinganisha ujerumani na Tanzania kwenye Jambo hilo.
Hapa Tanzania bado kufikia huko.
Hao Wazungu uchaguzi wao ni huru na haki,
Kwetu huku unafahamu kinachotokea.
Pia kiongozi akiharibu anaweza kuondolewa wakati wowote kwa kupigiwa kura na bunge.
Kiufupi mazingira ya kwetu, ukiondoa ukomo wa madaraka, siku moja utapata kiongozi ambae ni Wa OVYO, lakini kila uchaguzi ukija anashinda kwa wizi wa kura.
Vipi kuhusu ACT?Sioni utofaut kati ya CCM na CHADEMA wote ni wale qlwale tu ufisadi tamaa na uroho wa madaraka,
Sijafuatilia chaguzi zao.Hadi Kwa Machadema uchaguzi sio huru na Haki?
Hawa ndio watu wanaoaminika kabisa pale Chadema.Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876
Kama ambavyo machawa wa Mbowe wanavyo hamasisha kuwa bila yeye hakuna Chadema.Hakuna aliyemsingizia Magufuri bali Magufuri mwenyewe ndiye aliyetaka hivyo na akaanzisha machawa wa kumfagilia kuwa bila yeye hakuna Tanzania,na bila yeye watoto wetu hawatasoma,na bila yeye hakuna maisha mazuri Tanzania.
Hii ndiyo akili ya viongozi wa chakademusUkimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa wanataka Mafuguli atengenezewe njia ya kuongezewa muda kutawala. Jamaa hatumii ubongo kabisa.
View attachment 3177876