Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Nimeshangazwa na Benson Kigaila. aliyekuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA katika uongozi uliopita. Yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa dhana nzima ya no reforms no election lakini leo anaikana, na kuwatetea wale "waasi" 55 ambao hawataki maamuzi hayo ya chama.
Ifahamike kuwa kabla hata chama hakijaamua juu ya sera ya No Reforms No Election, na pia kabla hata Lissu hajaamua kugombea uenyekiti wa CHADEMA, Huyu Benson Kigaila ndiye aliyekuwa msitari wa mbele kuutangazia umma kuwa kama hakutakuwa na Reforms, basi uchaguzi nchini hautafanyika. Nashangaa leo anageuka nyuzi 360
Hebu msikilizeni hapa Kigaila akizungumza juu ya dhana ya No Reforms No election miezi mingi tu kabla hata Lissu hajawa mwenyekiti.
Hii inaonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kulikuwa na mapandikizi (Moles) na leo yamstukiwa kwa hiyo yanataka kuvuruga.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA