Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Kapigwa kwenye mshono, hana pa kushika
Hahaha. Naipongeza Chadema kwa kujivua gamba. Sasa, chama kinaenda kuwa kweli chama cha Upinzani. Moles wote wanajinyofoaNimeshangazwa na Benson Kigaila. aliyekuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA katika uongozi uliopita. Yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa dhana nzima ya no reforms no election lakini leo anaikana, na kuwatetea wale "waasi" 55 ambao hawataki maamuzi hayo ya chama.
Ifahamike kuwa kabla hata chama hakijaamua juu ya sera ya No Reforms No Election, na pia kabla hata Lissu hajaamua kugombea uenyekiti wa CHADEMA, Huyu Benson Kigaila ndiye aliyekuwa msitari wa mbele kuutangazia umma kuwa kama hakutakuwa na Reforms, basi uchaguzi nchini hautafanyika. Nashangaa leo anageuka nyuzi 360
Hebu msikilizeni hapa Kigaila akizungumza juu ya dhana ya No Reforms No election miezi mingi tu kabla hata Lissu hajawa mwenyekiti.
Hii inaonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kulikuwa na mapandikizi (Moles) na leo yamstukiwa kwa hiyo yanataka kuvuruga.
Tekinolojia ni nomaHahaha. Naipongeza Chadema kwa kujivua gamba. Sasa, chama kinaenda kuwa kweli chama cha Upinzani. Moles wote wanajinyofoa
Ogopa sana teknolojia.Nimeshangazwa na Benson Kigaila. aliyekuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA katika uongozi uliopita. Yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa dhana nzima ya no reforms no election lakini leo anaikana, na kuwatetea wale "waasi" 55 ambao hawataki maamuzi hayo ya chama.
Ifahamike kuwa kabla hata chama hakijaamua juu ya sera ya No Reforms No Election, na pia kabla hata Lissu hajaamua kugombea uenyekiti wa CHADEMA, Huyu Benson Kigaila ndiye aliyekuwa msitari wa mbele kuutangazia umma kuwa kama hakutakuwa na Reforms, basi uchaguzi nchini hautafanyika. Nashangaa leo anageuka nyuzi 360
Hebu msikilizeni hapa Kigaila akizungumza juu ya dhana ya No Reforms No election miezi mingi tu kabla hata Lissu hajawa mwenyekiti.
Hii inaonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kulikuwa na mapandikizi (Moles) na leo yamstukiwa kwa hiyo yanataka kuvuruga.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA
Kigaila na Mwalimu wake zao ni kati ya wale Covid 19, hawa siku zote walikuwa mguu ndani mguu nje.
Ndiyo maana mayowe mengi kama mbwa wenye kichaa cha mbwa.Mirija imekatwa
Nimeshangazwa na Benson Kigaila. aliyekuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA katika uongozi uliopita. Yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa dhana nzima ya no reforms no election lakini leo anaikana, na kuwatetea wale "waasi" 55 ambao hawataki maamuzi hayo ya chama.
Ifahamike kuwa kabla hata chama hakijaamua juu ya sera ya No Reforms No Election, na pia kabla hata Lissu hajaamua kugombea uenyekiti wa CHADEMA, Huyu Benson Kigaila ndiye aliyekuwa msitari wa mbele kuutangazia umma kuwa kama hakutakuwa na Reforms, basi uchaguzi nchini hautafanyika. Nashangaa leo anageuka nyuzi 360
Hebu msikilizeni hapa Kigaila akizungumza juu ya dhana ya No Reforms No election miezi mingi tu kabla hata Lissu hajawa mwenyekiti.
Hii inaonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kulikuwa na mapandikizi (Moles) na leo yamstukiwa kwa hiyo yanataka kuvuruga.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA
....kama aliyatamka haya kabla ya uchaguzi, ni dhahiri alifikiri kuwa Mbowe, angeshinda halafu iwe busness as usual, ila kama maneno haya anayatamka muda huu, bado anachuki kubwa sana kwa uongozi uliopo.
Politics is a game of dynamics..Tulianza na vyama vingi mwaka 1965 tukavifuta ila mwaka 1992 tukavirudisha. Tuliwai kua na sera ya ujamaa na kujitegemea ila ilifika muda nayo tukaachana nayo. Benson Kigaila anajua kusoma nyakatiNimeshangazwa na Benson Kigaila. aliyekuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA katika uongozi uliopita. Yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa dhana nzima ya no reforms no election lakini leo anaikana, na kuwatetea wale "waasi" 55 ambao hawataki maamuzi hayo ya chama.
Ifahamike kuwa kabla hata chama hakijaamua juu ya sera ya No Reforms No Election, na pia kabla hata Lissu hajaamua kugombea uenyekiti wa CHADEMA, Huyu Benson Kigaila ndiye aliyekuwa msitari wa mbele kuutangazia umma kuwa kama hakutakuwa na Reforms, basi uchaguzi nchini hautafanyika. Nashangaa leo anageuka nyuzi 360
Hebu msikilizeni hapa Kigaila akizungumza juu ya dhana ya No Reforms No election miezi mingi tu kabla hata Lissu hajawa mwenyekiti.
Hii inaonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kulikuwa na mapandikizi (Moles) na leo yamstukiwa kwa hiyo yanataka kuvuruga.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA
Kigaila amepoa sana,Nimeshangazwa na Benson Kigaila. aliyekuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA katika uongozi uliopita. Yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa dhana nzima ya no reforms no election lakini leo anaikana, na kuwatetea wale "waasi" 55 ambao hawataki maamuzi hayo ya chama.
Ifahamike kuwa kabla hata chama hakijaamua juu ya sera ya No Reforms No Election, na pia kabla hata Lissu hajaamua kugombea uenyekiti wa CHADEMA, Huyu Benson Kigaila ndiye aliyekuwa msitari wa mbele kuutangazia umma kuwa kama hakutakuwa na Reforms, basi uchaguzi nchini hautafanyika. Nashangaa leo anageuka nyuzi 360
Hebu msikilizeni hapa Kigaila akizungumza juu ya dhana ya No Reforms No election miezi mingi tu kabla hata Lissu hajawa mwenyekiti.
Hii inaonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kulikuwa na mapandikizi (Moles) na leo yamstukiwa kwa hiyo yanataka kuvuruga.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA
Mkutano mkuu wa chama ulipitisha wish yake ya no reforms no election, sasa anageuka nini nje ya vikao vya chama?Politics is a game of dynamics..Tulianza na vyama vingi mwaka 1965 tukavifuta ila mwaka 1992 tukavirudisha. Tuliwai kua na sera ya ujamaa na kujitegemea ila ilifika muda nayo tukaachana nayo. Benson Kigaila anajua kusoma nyakati
Narudia politics is a game of dynamics.. Kama wameona ilo kwasasa alina tija wakosa gani kulitupa. Mbona tuliwai kumsema Lowassa mwizi tumkatae lakini sisi wenyewe tukamchukua agombee kiti cha uraisMkutano mkuu wa chama ulipitisha wish yake ya no reforms no election, sasa anageuka nini nje ya vikao vya chama?