Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Amefanya kazi nzuri sana pale BAZECHA na anaendelea kufanya kazi nzuri zaidi pale BAVICHA. Ni matumaini ya kila mwanachadema mzalendo kwamba, the field marshal matonya engr. Benson Kigaila hatakosea BAWACHA na kamati kuu kama kawaida yake, and the mission will be successful completed.
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi atakataa matokeo ya uchaguzi wa uenyekiti wa chadema taifa kwasababu tu ya kuonekana kwa field marshal matonya engr Benson Kigaila akikatiza ndani ya chumba cha uchaguzi.
Hivi ukimuona huyo the man in a mission, the field marshal matonya, engr. Benson Kigaila, unapata picha gani kuuubwa inakuijia kichwani mwako?
Lema apuuzwe tu kama alivyokataliwa na kupuuzwa na wana Arusha 🐒
Mungu Ibariki Tanzania