Wataonekana dhaifu (ingawa ni wadhaifu kweli). Hawataki kukubali kwamba wanaweza kupigwa, ndio maana wamedhibiti sana utoakaji wa habari kutoka nchini kwaoMbona Iran walikiri na wao Israel si wakiri tu?
Netanyahu ashakufa kitambo. Huyo unaemuona anajieleza ni mtu alievaa mask iliyotengenezwa mahususi kwa matukio kama haya endapo atatoka kiongozi mkubwa ameuwawa, anatafutwa mtu anavalishwa mask kwa muda, uongo unaendelea.Nawasalimu Kwajina la JF!
Naweka kiulizo kifupi japo hili swala limeulizwa sana lakini sioni jibu lilolkuwa wazi,
Swali nini kipo nyuma ya Uvumi wa mitandao ya kijamii Hasa ya Serikali ya Israel kuhusu uvumi wa Kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahau? Kwanini Nguvu kubwa imekuwa ikitumika kujibu uvumi huu?Tumeona video zaidi ya tatu zikimnukuu Waziri Mkuu Huyo akisema mimi nipo Mzima,! Lakini wakina AI Video analyst wanasema hii ni Ai kutoka katika Picha Halisi ya tarehe fulani imepigwa na camera aina fulani na katika location fulani,kitu kinachozidi kuibua hisia za watu kuwa yawezekana uvumi huo ni wakweli!
Swali langu Je ni kazi ya waziri Mkuu kujieleza kuwa yupo hai?Au ni kazi ya idaara ya habari ya Islael kuuleza umma wa wanaisrael kuwa Kiongozi wao yupo imara lakini si Waziri Mkuu kila mara kuunyesha kuwa yeye ni Mzima! Je nini kipo katika hili linaloendelea je nikuficha ukweli huyu Bwana kafa?/Hasa ukizingatia Trump anashangaa kuwa Iran imeweza kupiga maeneo mengi ya gulf ila akakata kusema kuwa Israel imepigwa na watu wengi wamefariki Israel!
- Video ya kwanza ilikuwa ina vidole vingi zaidi ya itano ikaonekana (AI)
- Video hii ikaonekana yupo katika mgahawa akipata kahawa lakini kahawa imejaa pomoni na akinywa aipungui! (AI)
- Vide hii ilionekana pete ya ndoa ikipotea inarudi (AI)
- Sasa imekuja video akiongea na Balozi wa Marekani nchini Israel Bwana Mark ila anazidi kujitetea kuwa yeye ni mzima!
Ukweli utajulikana kwani Hakimu Mzuri ni muda.
Nawasalimu Kwajina la JF!

Salama kabisa. Nipo chemba nimeagiza na juisi tayariLeo siku yangu itakuwa njema sana habari za wewe! Njoo chemba tuongee
Netanyahu ashakufa kitambo. Huyo unaemuona anajieleza ni mtu alievaa mask iliyotengenezwa mahususi kwa matukio kama haya endapo atatoka kiongozi mkubwa ameuwawa, anatafutwa mtu anavalishwa mask kwa muda, uongo unaendelea.
Mwisho wa siku baada ya vita kuisha, then mnatangaziwa kuwa Netanyahu alikufa kifo cha kawaida akiwa nyumbani kwake amepumzika. Baada ya hapo maazishi yanaandaliwa, na huo ndio unakuwa mwisho wa kazi ya huyo mvaa mask kumalizika.
Wewe angalia ngozi na muonekano wake ni tofauti na yule mwenyewe original.
Ujinga nao kipajiNawasalimu Kwajina la JF!