Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
Anayezifahamu, ushauri please. Magonjwa sugu yake kama yapo na matatizo mengine. Spare parts sijali. Used saloon 2001 -2003. I intend to import from Japan. Pia MAKADILIO YA TOTAL COSTS PLEASE PLEASE PLEASE.
Asanteni sana.
E series sasa hivi unaweza ukaiagiza japan kati ya $ 1500 hadi $ 5000. Ukinunua zaidi ya hapo, then umeliwa hauko makini kutafuta souce nzuri.
.
Mjomba hiyo E-class ya $1500 -5000 ya mwaka gani?kaniki; sina experience na C Class.
Ila E Class naweza kusema ni gari Ngumu sana. utakumbuka zamani UwT na Ikulu walikuwa nazo nyingi tu.
Mfano mimi toka 2005 sijawahi kubadili Spares zozote hadi this month nilipojilazimisha kubadili Shock-Up, tyre rod ends, Ball joints n. ingawa bado gari ilikuwa inatembea.
At around 150,000 KM E series bado inapeta wala engine hiona dalili yoyote ya kuchoka. Ndo kwanza wakati mwingine engine inatoa hata mist ukiwasha gari asubuhi.
Spare parts zinapatikana Mpya na Used. Ukienda pale Mivinjeni Kilwa Road kuna mafundi wazuri sana tena kwa bei nzuri tu.
E series sasa hivi unaweza ukaiagiza japan kati ya $ 1500 hadi $ 5000. Ukinunua zaidi ya hapo, then umeliwa hauko makini kutafuta souce nzuri.
Mengine nisiongee kwa kuwa hujauliza. Ila kwa ufupi, kama umewahi kuendesha gari za namna tofauti 4WD au saloon za Class zote, bado utakubaliana na mimi hakuna gari yenye Confort kama Mercedez Benzi at least E Series ninayoijua mimi.
Anayezifahamu, ushauri please. Magonjwa sugu yake kama yapo na matatizo mengine. Spare parts sijali. Used saloon 2001 -2003. I intend to import from Japan. Pia MAKADILIO YA TOTAL COSTS PLEASE PLEASE PLEASE.
Asanteni sana.
Mjomba hiyo E-class ya $1500 -5000 ya mwaka gani?
Mjomba hiyo E-class ya $1500 -5000 ya mwaka gani?
That may make sense. Maana hapa Marekani nimeangalia E class ya mwaka 2006 bei ni $23000 at least. Hiyo ikiwa na maili 50 thousand. That is MB E 350.labda za japani wamewacopy wajerumani.
That may make sense. Maana hapa Marekani nimeangalia E class ya mwaka 2006 bei ni $23000 at least. Hiyo ikiwa na maili 50 thousand. That is MB E 350.
Mzee,
Tembelea www.khengkeng.com mabenzi kibao lakini bei ni $6500 mpaka $20,000 for E Class inategemea na mwaka.Hawa jamaa wako Singapore na kule ni wakali na masuala ya mazingira kwa hiyo mabenzi kule ni bomba.C class inatofautiana na E Class katika body shape lakini utakuta injini ni ileile in most cases eg C200 na E200,C240 na E240 n.k....mimi napenda bamwe(BMW) hasa 7 series,ukipata 720 bomba sana....
Hapo nilipopakandamiza wino tells me something about you, am i right?.Mzee,
Tembelea www.khengkeng.com mabenzi kibao lakini bei ni $6500 mpaka $20,000 for E Class inategemea na mwaka.Hawa jamaa wako Singapore na kule ni wakali na masuala ya mazingira kwa hiyo mabenzi kule ni bomba.C class inatofautiana na E Class katika body shape lakini utakuta injini ni ileile in most cases eg C200 na E200,C240 na E240 n.k....mimi napenda bamwe(BMW) hasa 7 series,ukipata 720 bomba sana....
Ndio maana nikamsihi mkuu ushauri wa waganga wa Kienyeji si mzuri sana..!!!
Asante SM
Sijakupata vizuri hapo mkuu, you mean CIF?
Mjomba hiyo E-class ya $1500 -5000 ya mwaka gani?
labda za japani wamewacopy wajerumani.
Kimweri,
Sisi huku Tz uwezo wetu ndio huo.....kununua used items...
Yegomasika,
Labda upo ukerewe bado...hii ndio lugha ya mujini.....