Benz C Class na E Class

Benz C Class na E Class

Kaniki1974

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2008
Posts
352
Reaction score
22
Anayezifahamu, ushauri please. Magonjwa sugu yake kama yapo na matatizo mengine. Spare parts sijali. Used saloon 2001 -2003. I intend to import from Japan. Pia MAKADILIO YA TOTAL COSTS PLEASE PLEASE PLEASE.
Asanteni sana.
 
kaniki; sina experience na C Class.

Ila E Class naweza kusema ni gari Ngumu sana. utakumbuka zamani UwT na Ikulu walikuwa nazo nyingi tu.

Mfano mimi toka 2005 sijawahi kubadili Spares zozote hadi this month nilipojilazimisha kubadili Shock-Up, tyre rod ends, Ball joints n. ingawa bado gari ilikuwa inatembea.

At around 150,000 KM E series bado inapeta wala engine hiona dalili yoyote ya kuchoka. Ndo kwanza wakati mwingine engine inatoa hata mist ukiwasha gari asubuhi.

Spare parts zinapatikana Mpya na Used. Ukienda pale Mivinjeni Kilwa Road kuna mafundi wazuri sana tena kwa bei nzuri tu.

E series sasa hivi unaweza ukaiagiza japan kati ya $ 1500 hadi $ 5000. Ukinunua zaidi ya hapo, then umeliwa hauko makini kutafuta souce nzuri.

Mengine nisiongee kwa kuwa hujauliza. Ila kwa ufupi, kama umewahi kuendesha gari za namna tofauti 4WD au saloon za Class zote, bado utakubaliana na mimi hakuna gari yenye Confort kama Mercedez Benzi at least E Series ninayoijua mimi.
 
Kwa kweli hata na mimi nilikuwa na 190E petrol na nilidunda nayo kwa miaka mitano bila ya matatizo. Mwishowe niliichoka na kuiuza na jamaa niliemuuzia anaendelea kudunda nayo. Muhimu ni kuifanyia service yake kwa muda unaohitajika na kununua spares ambazo ni original.

Vile vile niliwahi kuwa na C 220 tulidunda nayo na baadae tuliiuza tulipopata bei nzuri. Kwa ufupi gari za benz ni za kuaminika ukizifanyia maintenance ipasavyo.
 
E series sasa hivi unaweza ukaiagiza japan kati ya $ 1500 hadi $ 5000. Ukinunua zaidi ya hapo, then umeliwa hauko makini kutafuta souce nzuri.

.

Asante SM
Sijakupata vizuri hapo mkuu, you mean CIF?
 
Usikubali kupokea ushauri wa waganga wa kienyeji wa magari. Waone wa taalam au soma kwenye vitabu au hata kwenye internet watakueleza zaidi kuhusiana na swali lako. Mtaalam si mwenye kutumia kile chombo bali aliyekisomea na kukijua undani wake.

Gari ina parts nyingi zaidi ya ambazo zina hitaji kubadirishwa kutoka na KM utembeazo na muda zilipo wekwa ktk gari hiyo kwa matumizi.

Si kubaliani na mtu mwenye kusema kwamba gari ni ngumu na hajabadirisha spare parts zaidi ya miaka 3. Usisubiri parts iharibike ndio ubadiri bali badiri kutokana na maelezo ya parts na ushauri wa wataalam. Funga Kidonda kwanza wakati wasubiri sindano ya tetanus..!
 
kaniki; sina experience na C Class.

Ila E Class naweza kusema ni gari Ngumu sana. utakumbuka zamani UwT na Ikulu walikuwa nazo nyingi tu.

Mfano mimi toka 2005 sijawahi kubadili Spares zozote hadi this month nilipojilazimisha kubadili Shock-Up, tyre rod ends, Ball joints n. ingawa bado gari ilikuwa inatembea.

At around 150,000 KM E series bado inapeta wala engine hiona dalili yoyote ya kuchoka. Ndo kwanza wakati mwingine engine inatoa hata mist ukiwasha gari asubuhi.

Spare parts zinapatikana Mpya na Used. Ukienda pale Mivinjeni Kilwa Road kuna mafundi wazuri sana tena kwa bei nzuri tu.

E series sasa hivi unaweza ukaiagiza japan kati ya $ 1500 hadi $ 5000. Ukinunua zaidi ya hapo, then umeliwa hauko makini kutafuta souce nzuri.

Mengine nisiongee kwa kuwa hujauliza. Ila kwa ufupi, kama umewahi kuendesha gari za namna tofauti 4WD au saloon za Class zote, bado utakubaliana na mimi hakuna gari yenye Confort kama Mercedez Benzi at least E Series ninayoijua mimi.
Mjomba hiyo E-class ya $1500 -5000 ya mwaka gani?
 
Anayezifahamu, ushauri please. Magonjwa sugu yake kama yapo na matatizo mengine. Spare parts sijali. Used saloon 2001 -2003. I intend to import from Japan. Pia MAKADILIO YA TOTAL COSTS PLEASE PLEASE PLEASE.
Asanteni sana.

Kaniki,

Matatizo madogo sana.Ikifika mile 100k au 150k inabidi ubadili sway bars, fan belt,brakes na rotor. Kitu nitakacho kushauri ni regular service.
E-CLASS ni poa sana kama utapata 2005 kwenda mbele utafurahi mwenyewe. service ni bei kichaa, inategemea ulipo......
 
labda za japani wamewacopy wajerumani.
That may make sense. Maana hapa Marekani nimeangalia E class ya mwaka 2006 bei ni $23000 at least. Hiyo ikiwa na maili 50 thousand. That is MB E 350.
 
Mzee,
Tembelea www.khengkeng.com mabenzi kibao lakini bei ni $6500 mpaka $20,000 for E Class inategemea na mwaka.Hawa jamaa wako Singapore na kule ni wakali na masuala ya mazingira kwa hiyo mabenzi kule ni bomba.C class inatofautiana na E Class katika body shape lakini utakuta injini ni ileile in most cases eg C200 na E200,C240 na E240 n.k....mimi napenda bamwe(BMW) hasa 7 series,ukipata 720 bomba sana....
 
Waafrika sie tuna matatizo,Mtu anayetumia $5000 kununua Benz ana matatizo tena sio madogo.Jamani kama mtu huna Uwezo kwa nini usinunue unachoweza ku-afford?!ndio maana kuna Toyota,Honda,Hyundai etc.

Benz,BMW,Porche ni magari ya watu wenye vipato vya kati huku ughaibuni.sasa sie wenye GDP ya $2000 kwa nini tusitumie corola tu?
 
Mzee,
Tembelea www.khengkeng.com mabenzi kibao lakini bei ni $6500 mpaka $20,000 for E Class inategemea na mwaka.Hawa jamaa wako Singapore na kule ni wakali na masuala ya mazingira kwa hiyo mabenzi kule ni bomba.C class inatofautiana na E Class katika body shape lakini utakuta injini ni ileile in most cases eg C200 na E200,C240 na E240 n.k....mimi napenda bamwe(BMW) hasa 7 series,ukipata 720 bomba sana....

hayo madebe mnayouziwa huko afrika nayo mnayaita BMW,BENZ?!hawa jamaa wanatufanya sie majalala yao.hayo magari hayana hata sifa moja ya kuitwa BMW,BENZ,yamepita muda wake wa kuwa salama na imara kwa matumizi ya watu.ndio maana wanaya-DUMP afrika.kwa taaarifa yenu hakuna gari hata moja la "mnadani" japan linaloruhusiwa kukanyaga mtaa wa "tokyo".na mengi yao huwa yanatumia mashambani(japan vijijini) miaka 4-5 kabla ya kuelekea minadani.

free advice,if you can't afford a cheaper car,don't buy a premier car for cheap.

if its too good to be true,it ain't!
 
Mzee,
Tembelea www.khengkeng.com mabenzi kibao lakini bei ni $6500 mpaka $20,000 for E Class inategemea na mwaka.Hawa jamaa wako Singapore na kule ni wakali na masuala ya mazingira kwa hiyo mabenzi kule ni bomba.C class inatofautiana na E Class katika body shape lakini utakuta injini ni ileile in most cases eg C200 na E200,C240 na E240 n.k....mimi napenda bamwe(BMW) hasa 7 series,ukipata 720 bomba sana....
Hapo nilipopakandamiza wino tells me something about you, am i right?.
 
Kimweri,
Sisi huku Tz uwezo wetu ndio huo.....kununua used items...
Yegomasika,
Labda upo ukerewe bado...hii ndio lugha ya mujini.....
 
sasa mtanzania asie na uwezo wa kununua used afanyaje?

mie nashauri kwa wasio na uwezo wakubaliane na "reality".haya magari tunayonunua ni "deadly".kimazingira na kiusalama wa barabarani.
 
Back
Top Bottom