msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Yaaa.ni kweli maana ile sauli benz ilivyokuja ilikua inajaribu sana kukimbia na haikumaliza miezi miwili engine ikafa..likawekwa jiko la scaniaBenz ni overated , kwenye fuel consumption ipo powa Ila kwa mbio na nguvu haiwezi kuizidi scania, gari pekee ya kijerumani inayoweza kupambana na scania ni Man, japo nazo huwa hazina maisha marefu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sauti ya manka imehudumu Dar Mbeya kwa zaidi ya miaka 8, kwa engine moja , Benzi ya sauli hata miaka miwili haikumaliza ikaua engine,Sina uzoefu na magari ila nadhani Benzi ni nyoko hasa kwenye ishu za kutembea....maana nyanda za juu kusini kampuni ya sauli ana Benzi yake moja DPC scania na michina yote wanaitambua shuguli yake ni nyoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, fanya ufanyavyo niipate hiyo picha tafadhali.. Inanikumbusha mbali sana!Nimejaribu ku upload nikashindwa sijui picha Ina shida gani, zile zilikuwa ni scania 93 250hp, moja ilikuwa na namba TZJ 3360 kama sikosei . Kulikuwa na K310 TZJ 7104 ya matema beach, pia ndo walikuwa wababe wa kuingia mnazi mmoja saa nane mchana wakitokea Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliskia amenunua ingine, iko wapi?
Hivi mmiliki wa sauli ni nani?
Scania ipo good sana, haiwezwi wekwa kundi moja na Shivo
ila pia tambua Sauli ni wacheza rafu sana, na je unafahamu kuna dereva wao amefutiwa leseni kwa overspeeding?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile DRH na DPN zote ni scania ....Japo dereva wa ile Benz anadai zile bus perfomance yake kwenye kupanda milima sio nzuri sana kama scania..ila tambarare kuikamata ni ngumu
Benz ile hakuna kitu, zile scania 95 ndo zinajitahid kukimbizana na Golden deer
Sent using Jamii Forums mobile app
OkayNaomba mtu mwenye picha ya basi la Masia (Dar-Mbeya) aniwekee hapa.. Zile Scania nilikuwa nazielewa sana!