msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Yaaa.ni kweli maana ile sauli benz ilivyokuja ilikua inajaribu sana kukimbia na haikumaliza miezi miwili engine ikafa..likawekwa jiko la scaniaBenz ni overated , kwenye fuel consumption ipo powa Ila kwa mbio na nguvu haiwezi kuizidi scania, gari pekee ya kijerumani inayoweza kupambana na scania ni Man, japo nazo huwa hazina maisha marefu .
Sent using Jamii Forums mobile app