Benzema anachinja watu na kisu butu

Benzema anachinja watu na kisu butu

Akipewa Pasi Katika Eneo La Mpinzan Anakimbia Na Mpira Mpaka Karibu Kidogo Na Eneo La Penalty Kisha Anapiga Pasi Kwa Vinicius Jr Mibeki Yote Inamfata Vinicius Kwasababu Wanajua Yeye Ndo Hatari Na Msumbufu Naye Anawazuga Na Vichenga Vyake Vya Kiufundi Apo Mabeki Washamsahau Benzema Af Kwa Haraka Vinicius Anapenyeza Pasi La Upendo Katikati Yao Kisha Mabeki Wanashtukia Kelele Tu Za Mashabiki Uwanjani Wakishangilia Kwa Nguvu Kutahamaki Tayari Mpira Upo Kambani Na Mzee Mzima Benzema Ameshafika Kwenye Kibendera Anashangalia [emoji23]
[emoji16]
IMG_20220505_040657.jpg
 
Dah Anaendelea na kazi, yake. Nilichogundua ukianza mfungo wa mwezi wa Ramadhani ndio huzidi ukatili wake.
 
Back
Top Bottom