U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,045 Reaction score 8,608 Jun 8, 2023 #1 Why Saidia Arabia Benzema: because it's a muslim country, I'm muslim and i alyways wanted to live in a muslim country Hawa watu wanakipaji cha unafiki Kwamba benzema pale saudi arabia ndio kafika hawazi tena location nyingine?
Why Saidia Arabia Benzema: because it's a muslim country, I'm muslim and i alyways wanted to live in a muslim country Hawa watu wanakipaji cha unafiki Kwamba benzema pale saudi arabia ndio kafika hawazi tena location nyingine?
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Jun 8, 2023 #2 Yupo na mwanae kante. Ila jua unafiki upo kila kona achilia mbali na dini au race ya mtu.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jun 8, 2023 #3 wachezaji wanapokaribia kutamatisha soka Lao huwa wanatafuta mkataba wa mwisho ulionona... either waende CHINA, USA au Uarabuni ...
wachezaji wanapokaribia kutamatisha soka Lao huwa wanatafuta mkataba wa mwisho ulionona... either waende CHINA, USA au Uarabuni ...
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Jun 8, 2023 #4 uwe hodari said: Why Saidia Arabia Benzema: because it's a muslim country, I'm muslim and i alyways wanted to live in a muslim country Hawa watu wanakipaji cha unafiki Kwamba benzema pale saudi arabia ndio kafika hawazi tena location nyingine? Click to expand... Hapo kwa hayo maneno ashawachota akili yaani watammwagia pesa za kutosha halafu anaenda kujenga marekani, spain na ufaransa lakini hajengi saudia
uwe hodari said: Why Saidia Arabia Benzema: because it's a muslim country, I'm muslim and i alyways wanted to live in a muslim country Hawa watu wanakipaji cha unafiki Kwamba benzema pale saudi arabia ndio kafika hawazi tena location nyingine? Click to expand... Hapo kwa hayo maneno ashawachota akili yaani watammwagia pesa za kutosha halafu anaenda kujenga marekani, spain na ufaransa lakini hajengi saudia
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jun 9, 2023 #5 nawewe mgalatia umeumia