Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Robinho gani tena jamani?
View attachment 1739554
Ndio ana asili ya Algeria 🇩🇿
Atakuwa amekiuka masharti ya kile chama au amegoma kujiunga nao, sasa wanatafuta njia kumregeza, tatizo watu hatujui tu kuwa usajiri wa hizi club kubwa huko ulaya na America ni zaidi ya usajiri wa kucheza mpira, na nazani hii ndio changamoto iliyomkuta Samata na Hashimu, wakiona hauko kwenye kile chama wanakuona sio mwenzao ni suala la muda watakufutia zengwe wakutoe au au vinginevyo ujiunge.Pesa iliyokua ikishinikizwa kulipwa ni shilingi ngapi?
Benzema anatengeneza shilingi ngapi kwa wiki?
Ili aipate hiyo pesa ya blackmailing inatakiwa afanye kazi miaka mingapi?
Valbuena hamchafui mwenzake, au maelezo yake yalichukuliwa outta context na imebidi Valbueana afuate mkondo?
Nilisikia hata demba ba alikataa kilichofuata ni history baada ya hapoAtakuwa amekiuka masharti ya kile chama au amegoma kujiunga nao, sasa wanatafuta njia kumregeza, tatizo watu hatujui tu kuwa usajiri wa hizi club kubwa huko ulaya na America ni zaidi ya usajiri wa kucheza mpira, na nazani hii ndio changamoto iliyomkuta Samata na Hashimu, wakiona hauko kwenye kile chama wanakuona sio mwenzao ni suala la muda watakufutia zengwe wakutoe au au vinginevyo ujiunge.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku giza, Usifikili wahenga walikulupuka kuja na huu msemo.Mjinga ww
Inaweza kua ni kweli🙁🙁Atakuwa amekiuka masharti ya kile chama au amegoma kujiunga nao, sasa wanatafuta njia kumregeza, tatizo watu hatujui tu kuwa usajiri wa hizi club kubwa huko ulaya na America ni zaidi ya usajiri wa kucheza mpira, na nazani hii ndio changamoto iliyomkuta Samata na Hashimu, wakiona hauko kwenye kile chama wanakuona sio mwenzao ni suala la muda watakufutia zengwe wakutoe au au vinginevyo ujiunge.
Atakuwa amekiuka masharti ya kile chama au amegoma kujiunga nao, sasa wanatafuta njia kumregeza, tatizo watu hatujui tu kuwa usajiri wa hizi club kubwa huko ulaya na America ni zaidi ya usajiri wa kucheza mpira, na nazani hii ndio changamoto iliyomkuta Samata na Hashimu, wakiona hauko kwenye kile chama wanakuona sio mwenzao ni suala la muda watakufutia zengwe wakutoe au au vinginevyo ujiunge.
Huyu kila siku yuko kwenye kashfa za ngono, kuna kipindi alishutumiwa kuwa alishirikiana na Ribery kupiga mtungo, Ribery alikubali kuhusika.Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema atafikishwa mahakamani mwezi Oktoba kujibu tuhuma ya kuhusishwa na hujuma ya kanda ya Video ya ngono dhidi ya aliyekuwa mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya soka ya Ufaransa Matthieu Valbuena.
Taarifa hiyo imetangazwa leo na ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali wa mji wa Versaille. Benzema atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma katika kesi hiyo inayomkabili kuanzia Oktoba 20 hadi 22 akitajwa kuhusika katika jaribio la kumsaliti mchezaji mwenzie.
Benzema anatuhumiwa kuwa alihusika kumshinikiza Matthieu Valbuena mwaka 2015 kuwalipa fedha watu kadhaa waliokuwa wakitishia kuachia kanda hiyo ya Video ya tukio la kashfa ya ngono linalomuhusisha Valbuena. Valbuena alilipeleka polisi suala hilo.
Kwa upande wake Benzema amedai kuwa alikuwa akijaribu kumsaidia mchezaji mwenzake ambaye walikuwa wote kwenye timu ya taifa huku akiongeza kuwa anadhani hawakuelewana ”Nadhani ni kutokuelewana, mwanzoni nilitaka Mathieu afahamu swala hilo na kuweza kumsaidia kwa sababu waliwahi kufanya kama hivyo kwangu. Yeye ni mtu ambaye nilicheza naye Ufaransa na ni rafiki”
Tangu kuibuka kwa sakata hilo Benzema hakuitwa tena ndani ya kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa. Ikiwa Benzema atapatikana na hatia, anaweza kukabiliwa na kifungo cha miaka mitano gerezani.
Kuna makala ya Edo kumwembe aliongelea tofauti ya Zidane na wadogo zake akimaanisha hawa waarabu wa Africa waliozaliwa France (Nasri, Ben Arfa na Benzema).Huyu kila siku yuko kwenye kashfa za ngono, kuna kipindi alishutumiwa kuwa alishirikiana na Ribery kupiga mtungo, Ribery alikubali kuhusika.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ribery wa bayern au?Huyu kila siku yuko kwenye kashfa za ngono, kuna kipindi alishutumiwa kuwa alishirikiana na Ribery kupiga mtungo, Ribery alikubali kuhusika.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Yes walikuwa kama watatu walifanya mapenzi na underage mtoto wa miaka 16 ambalo ni kosa kisheria. Benzema alijitetea kuwa hakufahamu kama yule binti ni underage. Wote waliondolewa kikosini na hawakucheza tena taifa mpaka kesho.Huyu kila siku yuko kwenye kashfa za ngono, kuna kipindi alishutumiwa kuwa alishirikiana na Ribery kupiga mtungo, Ribery alikubali kuhusika.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Duh!Yes walikuwa kama watatu walifanya mapenzi na underage mtoto wa miaka 16 ambalo ni kosa kisheria. Benzema alijitetea kuwa hakufahamu kama yule binti ni underage. Wote waliondolewa kikosini na hawakucheza tena taifa mpaka kesho.
Wazungu wanapinga udhalilishaji wa kijinsia kivitendo haijalishi una kipaji gani.
Waalgeria ufaransa ni sawa na wamexico marekani, naturally ni jamii ya watu washenzi sana
Mwarabu wa ufaransa kutokea AlgeriaAha, asili yake ni wapi? Kama niliwahi sikia ni wa Algeria
Unamaanisha asili ya Algeria ndiyo imechangia kutoitwa timu ya taifa?
Ndio huyo huyo, yule ni Mfaransa.Ribery wa bayern au?