Benzema kufikishwa Mahakamani na kufungwa miaka mitano jela akikutwa na hatia

Benzema kufikishwa Mahakamani na kufungwa miaka mitano jela akikutwa na hatia

Atakuwa amekiuka masharti ya kile chama au amegoma kujiunga nao, sasa wanatafuta njia kumregeza, tatizo watu hatujui tu kuwa usajiri wa hizi club kubwa huko ulaya na America ni zaidi ya usajiri wa kucheza mpira, na nazani hii ndio changamoto iliyomkuta Samata na Hashimu, wakiona hauko kwenye kile chama wanakuona sio mwenzao ni suala la muda watakufutia zengwe wakutoe au au vinginevyo ujiunge.
Mjinga ww
Dah [emoji23][emoji23]
 
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema atafikishwa mahakamani mwezi Oktoba kujibu tuhuma ya kuhusishwa na hujuma ya kanda ya Video ya ngono dhidi ya aliyekuwa mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya soka ya Ufaransa Matthieu Valbuena.

Screen-Shot-2021-03-31-at-10.29.18.png

Taarifa hiyo imetangazwa leo na ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali wa mji wa Versaille. Benzema atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma katika kesi hiyo inayomkabili kuanzia Oktoba 20 hadi 22 akitajwa kuhusika katika jaribio la kumsaliti mchezaji mwenzie.

Benzema anatuhumiwa kuwa alihusika kumshinikiza Matthieu Valbuena mwaka 2015 kuwalipa fedha watu kadhaa waliokuwa wakitishia kuachia kanda hiyo ya Video ya tukio la kashfa ya ngono linalomuhusisha Valbuena. Valbuena alilipeleka polisi suala hilo.

Kwa upande wake Benzema amedai kuwa alikuwa akijaribu kumsaidia mchezaji mwenzake ambaye walikuwa wote kwenye timu ya taifa huku akiongeza kuwa anadhani hawakuelewana ”Nadhani ni kutokuelewana, mwanzoni nilitaka Mathieu afahamu swala hilo na kuweza kumsaidia kwa sababu waliwahi kufanya kama hivyo kwangu. Yeye ni mtu ambaye nilicheza naye Ufaransa na ni rafiki”

Tangu kuibuka kwa sakata hilo Benzema hakuitwa tena ndani ya kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa. Ikiwa Benzema atapatikana na hatia, anaweza kukabiliwa na kifungo cha miaka mitano gerezani.
Nyie watu weny imani ya upande flan mshaingiza udini hapa acheni ujina benzema ni mfaransa asili kbsa
 
Yes walikuwa kama watatu walifanya mapenzi na underage mtoto wa miaka 16 ambalo ni kosa kisheria. Benzema alijitetea kuwa hakufahamu kama yule binti ni underage. Wote waliondolewa kikosini na hawakucheza tena taifa mpaka kesho.
Wazungu wanapinga udhalilishaji wa kijinsia kivitendo haijalishi una kipaji gani.
Waalgeria ufaransa ni sawa na wamexico marekani, naturally ni jamii ya watu washenzi sana
Huo mtego wanaupenda sana kuutumia kuwanasa, maana wanajua ni lazima ukanyee debe ukitoka kwisha habari yako.
 
Back
Top Bottom