Chanzo hirmasChanzo?
Zipigwe mbabe ajulikaneHabari za hivi punde kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ni kuwa Belarus imepeleka jeshi kubwa mpakani na Ukraine kwa lengo la Kuivamia Ukraine kwa madai kiwa Ukraine inajiandaa kuivamia Belarus
Poland imesema itaingilia kati kama Belarus ataivamia Ukraine
Je huu ndo mwanzo wa WW3?
Lukashenko ni mkono wa Putin iko bayana.Chanzo?
Hata kwa russia pia mlisema hvyo hvyo mchovu wa uchumi kwasababu ya vikwazo vita itamshinda muda sio mrefu matokeo yake mpk mnafilisika kwa kumsaidia UkraineBelarus hana lolote na kwanza ni mchovu kiuchumi ile mbaya.
Why is Belarus amassing troops along its border with Ukraine?
Ukraine has called on Belarus to pull back its forces from the border amid new regional tensions after Kursk incursion.www.google.com
Belarus inaweza ikapigwa, NATO wakielekeza mashambulizi kwake haitaweza kushinda vita.Habari za hivi punde kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ni kuwa Belarus imepeleka jeshi kubwa mpakani na Ukraine kwa lengo la Kuivamia Ukraine kwa madai kiwa Ukraine inajiandaa kuivamia Belarus
Poland imesema itaingilia kati kama Belarus ataivamia Ukraine
Je huu ndo mwanzo wa WW3?
viongoz wabovu huingiza nchi zao vitani I.e Lukashenko na PutinHabari za hivi punde kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ni kuwa Belarus imepeleka jeshi kubwa mpakani na Ukraine kwa lengo la Kuivamia Ukraine kwa madai kiwa Ukraine inajiandaa kuivamia Belarus
Poland imesema itaingilia kati kama Belarus ataivamia Ukraine
Je huu ndo mwanzo wa WW3?
Hata kwa russia pia mlisema hvyo hvyo mchovu wa uchumi kwasababu ya vikwazo vita itamshinda muda sio mrefu matokeo yake mpk mnafilisika kwa kumsaidia Ukraine
lakin Ukraine alikuwa na haki kuivamia Belarus tangu 2022 maana Urusi alitumia Belarus kuivamia Ukraine ila Ukraine alitumia busaraPoland hana izo p*mbu za kuingilia .japo yawezekana ikawa kweli maana belarus kaweka jeshi na vifaa vya vita mpakani toka wiki ilio pita.
sio bure akatumia ile sababu ya vikosi vya ukraine vilipo taka kuingilia belarus siku chache zilizo pita
Mwaka wa tatu unaenda kwisha vita bado na hiyo ni Russia aliyedhaniwa kwamba ni Super Power .Hata kwa russia pia mlisema hvyo hvyo mchovu wa uchumi kwasababu ya vikwazo vita itamshinda muda sio mrefu matokeo yake mpk mnafilisika kwa kumsaidia Ukraine
Kwani si inayotaka kuvamiwa ni Ukraine?Belarus inaweza ikapigwa, NATO wakielekeza mashambulizi kwake haitaweza kushinda vita.
We go after big fish in pondviongoz wabovu huingiza nchi zao vitani I.e Lukashenko na Putin
Kulikuwa na ulazima gan kuivamia Ukraine ilihali Latvia na Estonia ni NATO na hajawai tishiwa kiusalama