Tetesi: Beralus kuivamia Ukraine

Tetesi: Beralus kuivamia Ukraine

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Habari za hivi punde kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ni kuwa Belarus imepeleka jeshi kubwa mpakani na Ukraine kwa lengo la Kuivamia Ukraine kwa madai kiwa Ukraine inajiandaa kuivamia Belarus

Poland imesema itaingilia kati kama Belarus ataivamia Ukraine

Je huu ndo mwanzo wa WW3?
 
Poland hana izo p*mbu za kuingilia .japo yawezekana ikawa kweli maana belarus kaweka jeshi na vifaa vya vita mpakani toka wiki ilio pita.
sio bure akatumia ile sababu ya vikosi vya ukraine vilipo taka kuingilia belarus siku chache zilizo pita
 
Zipigwe mbabe ajulikane
 
Belarus inaweza ikapigwa, NATO wakielekeza mashambulizi kwake haitaweza kushinda vita.
 
Habari za hivi punde kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ni kuwa Belarus imepeleka jeshi kubwa mpakani na Ukraine kwa lengo la Kuivamia Ukraine kwa madai kiwa Ukraine inajiandaa kuivamia Belarus

Poland imesema itaingilia kati kama Belarus ataivamia Ukraine

Je huu ndo mwanzo wa WW3?
viongoz wabovu huingiza nchi zao vitani I.e Lukashenko na Putin

Kulikuwa na ulazima gan kuivamia Ukraine ilihali Latvia na Estonia ni NATO na hajawai tishiwa kiusalama
 
ushabiki ukizid unaonekana mwehu , Urusi ni sawa na Belarus ?
Hata kwa russia pia mlisema hvyo hvyo mchovu wa uchumi kwasababu ya vikwazo vita itamshinda muda sio mrefu matokeo yake mpk mnafilisika kwa kumsaidia Ukraine
 
Poland hana izo p*mbu za kuingilia .japo yawezekana ikawa kweli maana belarus kaweka jeshi na vifaa vya vita mpakani toka wiki ilio pita.
sio bure akatumia ile sababu ya vikosi vya ukraine vilipo taka kuingilia belarus siku chache zilizo pita
lakin Ukraine alikuwa na haki kuivamia Belarus tangu 2022 maana Urusi alitumia Belarus kuivamia Ukraine ila Ukraine alitumia busara
 
FÜHRER PUTIN IS HAVING A PARTY - 4 more Russian Officers were successfully demobilized in Ukraine and are already sleeping in black bags:
  • captain Gozdok Dmitry;
  • captain Babuev Bator;
  • senior lieutenant Khugaev David;
  • Lieutenant Baradulin Alexan
    1724751626655.jpg
    der;
 
Hata kwa russia pia mlisema hvyo hvyo mchovu wa uchumi kwasababu ya vikwazo vita itamshinda muda sio mrefu matokeo yake mpk mnafilisika kwa kumsaidia Ukraine
Mwaka wa tatu unaenda kwisha vita bado na hiyo ni Russia aliyedhaniwa kwamba ni Super Power .
 
viongoz wabovu huingiza nchi zao vitani I.e Lukashenko na Putin

Kulikuwa na ulazima gan kuivamia Ukraine ilihali Latvia na Estonia ni NATO na hajawai tishiwa kiusalama
We go after big fish in pond
 
Back
Top Bottom