Berlin Marathon 2019

Berlin Marathon 2019

logframe

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,242
Reaction score
5,543
Kenya na Ethiopia wanatutendea vyema Africa.
Citizen TV live..
NB: ukiangalia mji wa Berlin jinsi ulivyopangwa, hapa kwetu East Africa miji yetu waweza iita 'takataka'
What a beautiful world!
 
Mkuu umeniwahi kutupia huu uzi hata mm nimestaajabu baada ya kuona namna jiji lilivyo pangika. Yaani miti barabarani imepandwa vzri balaa! Harafu hakuna manguzo ya umeme barabarani, nazani nyaya zimepitishwa chini kwa chini. Barabara zilivyojengwa si mchezo Fly over,SGR kama zote!! Sijaona nyumba za vibanda km Manzese au Mbagala. To be frankly these guys are ahead of us 100000000 years.
 
Ndo unaona leo.Sisi tupo kwanza kumpinga mbowe ili maendeleo yaje.

Je kuna watanzania Berlin marathon tuzidi kupeana update. Ndugu zangu sisi watanzania tunaweza nini? Kuteua na kutumbua viongozi wa serikali na makocha?
Kila kitu hovyo.Nikiwa posta au osterbay nawaza vipi kama Dar nzima ingekuwa kama osterbay na postanikipita keko magurumbasi/mwanga,chanika,buguruni,msi.bazi hadi unasikitika yani.
Timu za taifa za nje kuenda taifa wanapitishwa njia ya kilwa road kueleka kurasini posta wanalala.Lakin wanvepitishwa keko huku nadhani wanveataajabu ya Musa
 
Back
Top Bottom