Ndo unaona leo.Sisi tupo kwanza kumpinga mbowe ili maendeleo yaje.
Je kuna watanzania Berlin marathon tuzidi kupeana update. Ndugu zangu sisi watanzania tunaweza nini? Kuteua na kutumbua viongozi wa serikali na makocha?
Kila kitu hovyo.Nikiwa posta au osterbay nawaza vipi kama Dar nzima ingekuwa kama osterbay na postanikipita keko magurumbasi/mwanga,chanika,buguruni,msi.bazi hadi unasikitika yani.
Timu za taifa za nje kuenda taifa wanapitishwa njia ya kilwa road kueleka kurasini posta wanalala.Lakin wanvepitishwa keko huku nadhani wanveataajabu ya Musa