Berlusconi afungwa

Berlusconi afungwa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Aliyekuwa waziri mkuu wa italia silvio berlusconi amehukumis kifungo cha miaka 7 jela kwa kosa la kufanya mapenzi na binti wa miaka kumi na saba(17)
 
Sheria msumeno,siyo kama bongo,wanauwa walakini wanalindwa.
 
Wenzetu wanaweza, hapa kwetu Ditopile wa Mzuzuri aliua mtu kwa bastola lakini hakuna alichofanywa...
 
Back
Top Bottom