Bernad Morrison: Silaha hatari isiyopenda njaa

Sasa mbona sisi yanga hatukumfukuza? Na tunamng'ang'ania ? Jamaa ni mchezaji mzuri sana sema sisi gsm wahuni
Morison alifukuzwa orlando pirates kwa nidhamu mbovu, afrika kusini hawataki hata kumuona, hajui chochote zaidi ya kupanda mpira tu
 
Ndo maana eymael alisema sisi ni nyani kwa akili hizi.


Morrison:- Tarehe ya leo 8/3/2020 ndio siku aliwanyima raha mbumbumbu fc afu miezi 5 baadae (8/8/2020) anawapa raha mikia na kinyume chake! Ila huyu bora kasepa zake angetusumbua! Mo amevunja kibubu si mchezo
 
Morison alifukuzwa orlando pirates kwa nidhamu mbovu, afrika kusini hawataki hata kumuona, hajui chochote zaidi ya kupanda mpira tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hyo staili ya kupanda mpira mlitunyima nayo usingizi sana ila leo mmesahau. Mashabiki huwa tunamihemko sana hatunaga utulivu wa muda kumuelewa mchezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…