Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Na kweli aisee..Huyu hawezi cheza msimu huu, subirini muone filamu linavoenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli aisee..Huyu hawezi cheza msimu huu, subirini muone filamu linavoenda
Morison alifukuzwa orlando pirates kwa nidhamu mbovu, afrika kusini hawataki hata kumuona, hajui chochote zaidi ya kupanda mpira tu
Morrison:- Tarehe ya leo 8/3/2020 ndio siku aliwanyima raha mbumbumbu fc afu miezi 5 baadae (8/8/2020) anawapa raha mikia na kinyume chake! Ila huyu bora kasepa zake angetusumbua! Mo amevunja kibubu si mchezo
😂😂😂😂😂😂 Hyo staili ya kupanda mpira mlitunyima nayo usingizi sana ila leo mmesahau. Mashabiki huwa tunamihemko sana hatunaga utulivu wa muda kumuelewa mchezajiMorison alifukuzwa orlando pirates kwa nidhamu mbovu, afrika kusini hawataki hata kumuona, hajui chochote zaidi ya kupanda mpira tu
Kaka watu wana hukumu kiganjani tayarii hapo imekula kwenuHuyu hawezi cheza msimu huu, subirini muone filamu linavoenda