mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,258
- 2,842
Haba pa kukwepa ila nasiki yono walizuiwa kuuza mali zakeDahhh!! Afanye alipe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haba pa kukwepa ila nasiki yono walizuiwa kuuza mali zakeDahhh!! Afanye alipe
We USITISHE WATU; UGOMVI WA MEMBE NA MSIBA NDIO UNANZA RASMI; MEMBE KAHAKIKISHA HATOI MSAMAHA NA ALIKATAAm, UPO mpaka hapo umenisomaNape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Kwahiyo jamaa yangu unaniiga kufikiria sio?Wazuri hawafi....Makamba sr. Naye tunamsubiri
Sasa unalialianiniBahati nzuri ufundi wa MUNGU hautaishia kwa Membe tu, utaendelea...
Furaha ya leo ni ya kulazimisha tu kwa kuwa hakuna mtu aliyekuwa kwenye utumwa kwa Membe kuwa hai.
Umeandika nini??Sasa unalialianini
Kwani yeye na wakina Mbowe,kikwete et al ni siri kuwa walichekelea?ulimuona akichekelea?
kaeni kwa kutulia sindano ziwaingieAisee!!
Ndicho mlichobakia nacho. Mmejaa roho za visasi ni shetani tu ndiye anayependezwa nanyi!!
Si huyu membe ndo alisema kuwa kifo cha magufuli mungu ameamuaTuseme tu ukweli kifo chake kimezua maswali mengi. Na kutokana na hiki kifofo chake, naamini yule Naibu Waziri atapumua.
Mkuu kama unaumiasana muambie mwenyekiti zzk akushauri chakufanya.Inawezekana kuwa hujui historia.
Suala la kufa lilianza tangu zama za Adam Na Eva.
Mtu akifa watu wakafurahi huwa hawafurahii mtu huyo kufa bali wanafurahia mtu mbaya kuondoka kwenye jamii yao.
Membe hakuna mtu aliyemtendea ubaya!!
Au wewe unaweza kuutaja ubaya wa Membe kwa watu!!??
Mijizi ya CCM inazidi kukuta kamba. Wakakutane na dhalimu sasa.Haya uliyasema hata kwa walioshangilia kifo cha Magufuli?
Pole ya nini??😁😁😁 hata pole hatuwapi pambaneni na hali haya mambo ni suala la muda tu aliyecheka jana analia leo ndio maisha
Watu wa kanda ile hujulikana madhalimu yoote dhidi ya ubinadamu hutokea kule!Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.
Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.
Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.
Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Wewe vipi hufi, ushangilie usishangilie kifo kipo mbele ya kila mtu.Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Jasusi Mbobezi...Miaka 22 tayari ana ajira TISS si mchezo
hakika roho mbaya wametufundisha wenyewe 😁Kuna watu waanze kupata picha hali itakuwaje siku wakijifia.
Watu wanasubiri kuyasimanga mamizoga yao kabla hata haijajulikana yatafukiwa lini.
Amani James Temba huwa anasema,"Roho mbaya mmetufundisha wenyewe".
Aliyesema kifo cha nagufuli mungu ndo aliamua alikuwa nani bwasheeKama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.
Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.
Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.
Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Mungu ameingilia katiMzimu wa Membe lazima umfuate popote atakapojificha aliemtanguliza na yeyote alieshiriki,