Kipindi hicho ni wakati nchi ikiwa na rais dhaifu sana
 
Wakuu,mzoga wa huyo Fala unafukiwa lini?
Maana niko kusherekea hapa
Kuwa nyuma ya keybord isikufanye unawehuka,kwako unamuona ivyo lakini nyuma yake ni wengi wanaomtegemea,mfano wewe baba yako mzazi anafariki halafu anatokea mtu unamsikia anasema mbele yako huo mzoga wa baba yako unauzika,utajisikia,heshimu mtu hata yule usiyemjua
 
Ameulaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ujumbe mtumie Nape na Makamba
Makamba ,Nape na nyinyi mnao amini nadharia zao wote ni wapumbavu.
kifo hakina uhusiano na hizo nadharia zenu za kipumbavu bali kifo ni asili ya kiumbe chochote kilicho hai na ni razima kuna siku kitakufa.

Lakini pia mm sikuwahi kumsikia Membe akikejeli kifo cha jiwe pamoja na tofauti zao.
 
Vipi huwa unashikwa na hasira namna hii hata kwa wanaoshabikia kifo cha magufuli?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wao walijiona wana hakimiliki ya ubinadamu kuliko sisi ngoja tufurahi kwa mda labda akili zitawakaa sawa waone hata sisi kumbe ni binadamu kama wao.
Sasa nyie mnapaswa kufanya kinyume chake ili wajifunze utu na uungwana,

Sasa mnafanya yale yale tena?!

Ubinadamu kazi!

Hata hivyo matendo alofanya jamaa yenu sio sawa na ya Membe.
 
Acha kumsingizia Mungu.
Unalazimisha watu wafurahie kifo cha Membe??

Matendo yake yatamtetea.

Nyie endeleeni kulinda ligasi
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mzoga km mzoga unakutesaaaa??? Rahaa ya kukanda na wewe ukandweee kaa kwa kutulia maneno ya dhihaka mliyaanza wenyewe subirini sindano ziwaingie kwa umivu lile lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…