TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Wapiii mzoga [emoji879][emoji879][emoji879][emoji879] wa maembe ....piga keleleeeeeeeeeere[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
This is totally lack of sympathy
 
Kwa kweli sipendezwi na hii tabia ya baadhi ya watanzania kusherekea vifo vya watanzania wenzao, sikupendezwa kipindi kile cha kifo cha mwamba JPM na sasa hiki cha Membe. Ni kama sasa watanzania tunaviziana na kuombeana vifo kati ya kambi na kambi na kuanza kusherekea pale kambi fulani inapofiwa, kama Taifa tunaelekea pabaya nawaomba viongozi wa dini watoke kulikemea hili apema wasiache likaendelea kuota mizizi kama walivyolinyamazia miaka hii takribani miwili. Itafika mahali tutasusiana misiba.
 
Mfalme daudi alifunga na kuomba ,Allah amteteee dhidi ya mtesi wake sauli ,mwisho wa siku sauli akadondoka na kupoteza uhai,japo daudi alisikitika lakini alimshukuru Allah kwa kujibu maombi yake ,na kumrejeshea amani Tena.

NB.Tupendane ,sisi sote ni watoto wa baba mmoja.
Acheni kupotosha, Sauli hakudondoka bali alifia vitani!.
 
Nakuomba Sana, tafadhali kama utapata nafasi jitokeze hadharani uombe msamaha kwa dhihaka Ile na kama utaona aibu kuongea hadharani basi andika tu kwenye Twitter yako kuomba msamaha.
Ifute ni kauli mbaya ambayo ipo kwenye mioyo ya waliofiwa na huwa wanaikumbuka na kukushitaki kwa MWENYEZI Mungu.
Ahsante
Nani sasa unamwambia hapo? Wwanza kufuta kina nape makamba na wenzao wema hawafi
Mungu kaamua ugomvi na mengineyo
 
Wela wela wela welaaaaaaaaaaaaa nimehamkaaaaaaaah sasaaaaaaa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeee
IMG_20230512_224114.jpg
 
Back
Top Bottom