Safi sana,alichekelea kifo cha mpendwa wetu Magufuli.
Na ametangulizwa, Mbona mlimtanguliza Mja wa Mungu JPM?.Kama wamemtanguliza watamfuata
Hakuna cha kulipwa na likaoze huko kaburiniBush lawyer, pesa za marehemu ni mirathi ya familia, vitu vikipigwa mnada pesa inakwenda kwenye account ya mahakama, baada ya mirathi Msimamizi wa mirathi anajaza fomu ya kugawanya pesa za marehemu zilizopo kwenye bank zote kwa wanufaika wa mirathi.
Endeleeni kudanganyana, Membe amejenga msingi mzuri wa kuwatia adabu waropokaji wote.
Ulikuaje kwani mkuuMkuu haya maisha haya, hapana aisee najirekebisha kuanzia leo..
Mfano membe angeshinda uraisi wa JMT,Sasa unawaza nini wakati aliyeukwaa uraisi 2015 nae alishafariki hata kabla ya Membe
Poleni sana,safari yake imefikia tamati vita alivipigania mwendo ameumaliza salama.Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Mkuu samahani mimi kiukweli nipo nyuma sana[emoji23][emoji23] naona watu wengi wanasema musiba atafurahi niwe mkweli tu sijui hata musiba anafurahi KWA sababu gani usinicheke sijui kweli[emoji23][emoji23] naomba nifahamishwe[emoji120][emoji120]
Hakuna anayebaki lakini siku hizi hata kama huumwi unaweza kuzushiwa kuwa umekufa hadi hapo utakapojitokeza kuwa upo Hai.Kwamba hawezi kufariki?
Au sio, hapo ni mpaka ufufuo.Hakuna maisha huko kaburini ,acheni UMIZIMU jamani ,ndio maana viongoz wa Dini wanawaibia pesa